PreGE2025 Peter Msigwa: Nawashauri G55 waje CCM, hawana ushawishi kuendeleza siasa za mageuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
This guy is still smart kaongea fact .

Mbowe kaharibu Sana Chadema ile kumpokea Lowassa it was big mistake .mwaka 2015 tulikuwa hatuitaji Mtu Kama Lowassa Ila nguvu ya umma tu
 
Ukisoma vizuri hayo maneno, kuna siku isiokuwa na jina, Tutasikia na kuona, Mchungaji Msigwa Akirudi CDM.
Tuombe uzima,
 
Kamshawishi Lisu apokee kaa la moto halafu kamwacha,hata gerezani hajaenda kumuona huyu mnyalu,ni mfitini na mwenye hila kama wenzake
 
Kama hawana ushawishi kwa umma unataka waje CCM kufanya nini? Ina maana CCM ni kama kokoro tu linakokota kila aina ya takataka? 😳

View attachment 3338033
Yuko sahihi sana Kwa sababu hata yeye alipoenda Ccm ni Kwa sababu hana ushawishi. Hakuna kipya alichoifanyia Ccm isipokua yeye Ndio amepotea kabisa kwenye ramani ya siasa ya Tanzania baad Aya kuvalishwa nguo za kijani na kumsahambulia Mbowe.
Alifanya Mbowe kuwa stepping stone haya Mbowe akatoka kwenye Kiti. Atamsema nani tena! Ndio habari yake imeisha ameongeza idadi ya wanachama wa Ccm Ila sio viongozi Ndio mana anawaita watu wanafanana na yeye na wafe pamoja kisiasa.
 
Ushauri wa Msigwa sio sahihi. Hata yeye hayupo sahihi kujiunga CCM. Wote walitakiwa kuanzisha chama kipya kama Zito. CCM kumejaa sana na soon wataanza kutoana ngeu.
 
Hapa Msigwa kaongea ukweli
 
Kama hawana ushawishi kwa umma unataka waje CCM kufanya nini? Ina maana CCM ni kama kokoro tu linakokota kila aina ya takataka? 😳

View attachment 3338033
Huyu naona kama ndio kaongea ukweli? Kama walikuwa serious kwa nini hivi sasa CDM ina force ishiriki uchaguzi na Bunge la Ulaya linashinikiza waruhusiwe kushiriki uchaguzi wakati walisema hawashiriki kama hakuna mabadiliko? Maana mabadiliko yalifanyika na hakuna mengine.
 
Ushauri wa Msigwa sio sahihi. Hata yeye hayupo sahihi kujiunga CCM. Wote walitakiwa kuanzisha chama kipya kama Zito. CCM kumejaa sana na soon wataanza kutoana ngeu.
Na huko CCM hakuna Jimbo watapewa. CCM asilia wanataka kutoana roho kwa ajili ya majimbo, ndo waje wawape wageni wanaohamia kutoka Chadema? Hiyo ilikuwa zamani.
 
Nahisi tulishajadili humu kwamba, hata wana CCM wanajua fika kwamba Msigwa hatabiriki huko CCM na ndio maana hata hawapi teuzi kubwa kubwa. Msigwa alihama CHADEMA kwa hasira lakini leo hii anatamani kurudi CHADEMA.

Kuna watu wamezaliwa hivyo tu, yaani ni wapinzani. Sasa Msigwa anajitahidi kuigiza akiwa CCM lakini umbo la ndani anaumia kukaa CCM hata kama wanampa hela!
 
Doh ila naanza kuelewa somo sasa ,siasa nchii hii wanasiasa hawapo Kwa maslahi yetu wananchi wawe n wa chama tawala au upinzani,wapo Kwa ufisad wao wenyewe dah my beautiful Tz😭
 
Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…