Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

Anazidi kuitangaza chadema ina maana na Yeye huyu Msigwa kawa Mwehu kiasi hiki? Hojq za kitaifa kaziacha alikotoka kule kaenda kuwa rofa tu. Usaliti ni mbaya sana.
 
mpuuzi huyo,
 
Mimi siikubali chadema..lakini ujinga anaoongea huyu mzee ndio unachefua kabisa..
 
Si muda mrefu wachaga watafumuka kutoka pande nne za dunia kujibu mapigo
 
halafu huyu alikuwa mchungaji kweli? Bora alivyoingia katika siasa na kuacha kanisa. maana inaelekea alikuwa zaidi ya Kbwetere katika uzeeni kwake
 
Mimi nafikiri hata akisema yote ya CHADEMA haiwezi kuleta negative impact kwa Chama!
Changamoto iliyopo Watanzania wengi wanajua hayo yote ni majungu tu yanayotokana na nia ya kukipiga vita Chama hata kama yana ukweli.
Angehamia chama kingine kisicho CCM huenda angeeleweka!
Changamoto nyingine kama Mbowe ndiyo mwenye hela ya kuendesha Chama (kama tunavyosikia) wakubali tu!
Maana mimi sioni kama chama kina vyanzo vingine vya hela mbali na kunategemea ruzuku!
 
Hivi CDM kuwa mali ya Mboe na Mboe kugombea kila muhula vimeanza baada ya Msigwa kushindwa uchaguzi? Mbona hakuondoka Zaidi ya miaka 20 iliyopita km anachotuambia ni kweli. Jamaa mpuuzi sana huyu. Anatapatapa kwa wanunuzi wake ili naye apewe Kamba apate kula japo kidogo kwa urefu wa Kamba yake. Hakuna wa kumjali mjinga mmoja huyo.
 
Atasema yote hata alivyovuliwa chupi.
 
Hapo CDM inabidi uwe nyumbu ndo utaishi vizuri usijaribu kuonyesha unataka kuwa mwenyekiti wa chama
 
TATIZO HUYU JAMAA KILA ANACHOSEMA ANAANDIKIWA NA MACCM HAKITOKI KICHWANI MWAKE
 
Huyo sasa anatapatapašŸ˜—

Kitu kinachomstua Msigwa ni Kwa Yale mabaya anayoongea kuhusu Chadema, anakuta hakuna anayemjibu
 
Ujumbe ameandika km anakimbizwa bwana, hebu tulia utuletee ujumbe kwa utuliv, punguza papara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…