Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

Yeye Msigwa atueleze Nyerere alipokuwa anagombea enzi za TANU hadi CCM , je kuna mtu alijitokeza kumzuia ? Mbona mpaka leo anaitwa baba wa Taifa ? Mbona hakumwachia mtu mwingine yeyote agombee mpaka alipohiyari mwenyewe ?
Mbona CCM kila mwenyekiti anapogombea hakuna mwingine wa kuchukua fomu ? Mbona leo hii CCM wameshaanza kampeni ya uraisi 2025 wakisisitiz afomu ni moja tu ya Mama ? Mbona husemi Msigwa ??
Badala ya kusema utaisaidiaje CCM we ume ng''angána na Mbowe tu ???
 
Huyu tumbili mbona Chadema haimtoki mdomoni amesahau nini huku? Au ameondoka na mimba sasa anadai matunzo?
 
Hivi Mbowe akigombea uenyekiti, wengine hawatakiwi kuwania nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba yao?
 
Huyu mpuuzi nae amekuwa kama mtalaka asiyetaka kuachwa.

Ushahama chama sasa kutwa kucha ni kukiongelea chama hicho hicho.

Msigwa needs to get a bloody life already and move on.
 

Ahsante sana baba mchungaji kwa kunadi sera murua za CCM na kubwa moja wapo ni habari ya Mbowe.
Bro dunia inaenda kasi pls think twice Mr. Pastor.
 
Kuna watu watakuja kumwelewa Msigwa in a hard way na kwa kuchelewa sana...

Anachokisema mchungaji ndio ukweli wenyewe...

Kwa sasa endelea kumtukana...
 
Kuna watu watakuja kumwelewa Msigwa in a hard way na kwa kuchelewa sana...

Anachokisema mchungaji ndio ukweli wenyewe...

Kwa sasa endelea kumtukana...
Huyu tumbili Peter Msigwa ni mpumbavu kwani haya anayotoa kwa kushindwa uchaguzi tu kwani angeshinda ule uchaguzi angekuwa bado yuko Chadema haya asingeyasema hivyo ni mjinga tu anaweza kumuamini.Anayasema haya kwani ndiyo maelekezo anayopewa na mabwana zake waliomnunua kwa Tsh. M200.
 
Karibu sana huku CCM,Mheshimiwa.Nadhani inatosha sasa kuendelea kuwananga kule ulikotoka.Tuendelee kutangaza sera za CCM chama chetu pendwa.

Kuna mengi sana ya kusema kwenye chama hiki.Nenda kukagua miradi mbalimbali na kubaini kama imetekelezwa kwa thamani ya fedha iliyolewa.

Jitahidi kushughulikia mpasuko ndani ya CCM kwa kutumia mbinu ulizotaka kutumia kuondoa mipasuko ndani ya Chadema.Ukifanya hivyo utakuwa unakitendea haki CCM.
Nakutakia kila ka heri.
 
Huu ubaya wa CHADEMA ameujua leo, wakati anakula bata bungeni kupitia chama hakuwa anajua mabaya yao?.

Aambiwe, CHAMA CHA MPUUZI kina mabaya mengi kuliko CHADEMA.
 
Nyinyi watukanaji hamuwezi kumwelewa yeyote zaidi ya Mbowe...

Maana ndio products zake...

Hata Lissu mmeanza kumtukana kisa ukweli...
 
wapasue tu hawana maana hao
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…