Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

Ushahidi wa nini wewe kamuulize mwenyewe ...muulize je anaweza kuachia pesa impite kwa sababu ya uzalendo utasikia jibu lake ....atakuambia kuacha pesa ni laana...au watafute wale mademu zake covid 19 ongea nao kwa siri watakujulisha mbowe ni nani?
Umeandkia "mbowe anasemaga" sasa tuonyeshe aliposema
 
Wengine tumeyasema siku nyingi hayo, lakini hatueleweki. Labda useme wewe Msigwa, aje na Tunfu Lissu ayabwage wazi.

Naamini kuna mengi sana wajinga ndiyo waliwao hawataki kuyafahamu.
Wewe bibi makobazi unatuchukia wachaga tu kumbaf. Ulisema nini? Lini? Wapi?

Wapi, nini, lini?
 
Jamaa amechanganyikiwa... Kwenye struggle kila mbinu lazima zitumike. Msigwa anashindwa kujitambua
 
halafu huyu alikuwa mchungaji kweli? Bora alivyoingia katika siasa na kuacha kanisa. maana inaelekea alikuwa zaidi ya Kbwetere katika uzeeni kwake
Neno la Mungu linasema"Mpende adui Yako kama unavojlpenda mwenyewe"
 
Hakuna mwanasiasa kama Lowassa atatokea Tanzania.
 
Umeandkia "mbowe anasemaga" sasa tuonyeshe aliposema
Alipo sema si mdomoni au ulitaka nikuonyeshe nini tena ...kwani nimekuambia aliandika mahali? Wewe n mnunulia konyagi tu na mtafutie chupa la asali huone kama ana kunywaga asali au la ?...
 
Njaa mbaya sana!! Kwa sasa yuko kwenye CHAMA cha peponi.





Kazi ni kipimo cha UTU
 
Hi nalooo litaishaaa tuuu tuu maana Taifa let linawahitaji CHADEMA kuliko ACT,CUF,etc
 
Mwanamke akiachana na mume wake haishangazi kusikia akiwambia watu et yule mumewe alikuwa akimlala kinyume na maumbile, bila kujua hata yeye anajidhalilisha!
Hii ni kwa wanawakw wahuni wasio na aibu. Anamsingizia akidhani anamkomesha kumbe mwenzake Life linaendelea na wala hana habari
 
Msigwa amekuwa kama mtoto na si mzee tena. Ina maana akipata taarifa kuwa baba yake anafanya mapenzi na jirani ataenda kutangaza? Ukishakuwa inabidi na akili ikue
 
Ndio aende sisiemu mchungaji jamani alitakiwa apambane hata kama sio kiongozi mbona anakuja kuijenga sisiemu bila kua kiongozi? Kifupi mchungaji ni mchumia tumbo na tapeli wakisiasa ambae hana shughuli zamaana zakiuchumi pia hana taaluma yoyote amaefanya siasa kama full-time job angeenda kujiunga TLP akajenge misingi anayoiona inafaa.Ila kwa sisiemu mchungaji asitupange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…