Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Humsaidii lolote zaidi ya kuonyesha ujinga wake na wako.
 
Asubiri kesi asitupigie kelele hapa
 
Ni vigumu Msigwa kunyamaza kwani ameondoka na ujauzito wa Chadema, akijifungua atanyamaza.
 
Msigwa, umewezaje kumtumia Lucas Mwashambwa kuwa mwanasheria wako! Hivi ni wewe Msigwa uliyekuwa mbunge au ni fotokopi ya Msigwa tumjuae?
 
Msigwa atajua hajui!
 
Kwa akili ndogo tu.. mwenyekiti yupi anayemzungumzia wa CHADEMA tofauti na Mbowe?
 
Tatizo la mchungaji Msigwa ni Elimu ndogo

Sasa Ndio atamjua Mbowe na marafiki zake wa Upendo Kwaya Kijitonyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bilion 5 zimeshamvuruga, mara yuko tayari kupambana mahakamani, mara ooh Haya ni mambo ya kisiasa hapo anataka kuninyamazisha, mara oooh sijamtaja Mbowe nimemtaja mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…