Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

Kuna wakati hata saa mbovu huwa inasema kweli
 
Kwenye hiki kitabu para ya kwanza inasema, A fool is a fool ukiona analialia sana kuhusu mabandiko yako ngonga hapo hapo.

View attachment 3591061
Yes mfuata mkumbo useless,
If you do not take part in democratic processes include elections, don't blame to be ruled by a fool.

Kusoma vitabu vingi zaidi,
vikusaidie kubadlika kifikra na kuchukua muelekeo wa kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Ukikiuka sheria kwa makusudi, ukisusia au kugomea masuala muhimu sana kama vile uchaguzi, huna sababu hata moja ya kulaumu wanaokunyoosha kwasababu tu ya kiburi yako nonsense.

kusoma vitabu vingi,
ikusaidie kutoka kwenye mkwamo unaokuathiri wewe mwenyewe socially, politically and economically 🐒
 
Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa:
• kuporomoka kwa tawala,
• majeraha ya kizazi kwa kizazi,
• migawanyiko ya kitaifa,
• hukumu za kimataifa,
• au viongozi kuishi maisha ya hofu, uhamisho, au aibu ya kihistoria.

Karibu kila mahali ambapo serikali au tawala zilifanya mauaji makubwa dhidi ya wananchi:
• ukweli ulijaribu kufichwa mwanzoni,
• propaganda ilitumiwa,
• watu waliogopa kusema,
• taasisi zilinyamaza,
• baadhi ya wananchi walitetea ukatili huo kwa sababu ya siasa au hofu.

Lakini baadaye:
• ushahidi ulitoka,
• historia ilizungumza,
• dunia ilihukumu,
• na majina ya viongozi wengi yakabeba doa la kihistoria milele.

Ndiyo maana mataifa yenye hekima hujenga:
• taasisi huru,
• mahakama imara,
• vyombo vya habari huru,
• na uwezo wa serikali kukosolewa bila kuiona jamii kama adui.

Kwa sababu damu ya wananchi inapomwagika bila haki, athari zake zinaweza kulitesa taifa kwa vizazi.
Usaliti mbaya sana, Yuda skarioti.
 
Muda si mrefu watamtimua chamani, maana hicho chama cha majambazi hakipendi kusikia ukweli kabisa
 

Attachments

  • HpiO8.jpg
    HpiO8.jpg
    132.4 KB · Views: 11
Back
Top Bottom