Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Pia, Soma: Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue.