LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
..Mbowe kazi yake kufukuza wale wanaompinga, anaipenda maridhiano na ccm, aanze maridhiano ndani ya chadema kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Mbowe kazi yake kufukuza wale wanaompinga, anaipenda maridhiano na ccm, aanze maridhiano ndani ya chadema kwanza
Kwenye hili la Join the Chain ipo kazi. Ila Msigwa hata aseme nini simuamini.
Amandla...
Haahaa wenje kaumbukaPeter Msigwa ni nani alichukuwa jukumu la kusimamia fuko la ukusanyaji pesa za 'Join the Chain' March 2022 baada ya kukamatwa Mbowe Julai 2021?
NUKUU
Mbowe alikamatwa na kutangazwa tarehe 23 Julai 2021 huko jijini Mwanza kwa tuhuma za kupanga njama kufanya ugaidi Tanzania.
"...
https://www.facebook.com/sharer.php?u=https://millardayo.com/freeman-mbowe-ashikiliwa-na-jeshi-la-polisi-tuhuma-za-ugaidi/
Jeshi la Polisi limesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama ya kufanya vitendo vya kigaidi ikiwepo kuua Viongozi wa Serikali ambapo wenzeka 6 walishafikishwa Mahakamani.
‘Kama ilivyo kwa baadhi ya Watu kucheza na nyakati na matukio akaona ni vyema akimbilie Mwanza kwa kigezo cha kongamano la Katiba Mpya ili akikamatwa Umma uamini amekamatwa kwasababu hiyo”- Jeshi la Polisi
‘Hata hivyo uchunguzi unaendelea kule Mwanza kutokana na vitendo vya uvunjifu wa amani, ukibaini kuna sheria aliyovunja hatutasita pia kumfikisha Mahakamani pamoja na Viongozi wenzake wanaoshikiliwa kule-Jeshi la Polisi..."
Kama Lissu and Lema walikuwa ughaibuni na wewe pamoja na Heche mkabaki mlisimamiaje michango ya wapenzi wa CDM kwenye 'Join the Chain' na mhazini alikuwa nani?
Je mlisomewa taarifa ya makusanyo kabla ya Mbowe kutolewa gerezani 2023?
Join the Chain
View attachment 3203619
View attachment 3203620
View attachment 3203622
View attachment 3203623
View attachment 3203624
View attachment 3203628
View attachment 3203629
View attachment 3203630
Join the chain mnyika anajua, wenje muhongo tuSisi tunataka aliyeshikilia hela za Join the Chain, hayo mengine mtajuana. Kwa hiyo Msigwa unatuambia wewe na Heche mmoja wenu ndio anazo hela za Join the Chain, na sio Lema?
msigwa huyu ndio muongo zaidi, mwoga, mnafiki na fisadi linaloweza kununuliwa na yuko tayari kumtukana yeyote ili mradi anapewa pesa, ana chuki isiyo komaHaahaa wenje kaumbuka
Nakataa Msigwa alikomaa kipindi cha shemeji yake magu na hakuwa na shida,shida ni Mbowemsigwa huyu ndio muongo zaidi, mwoga, mnafiki na fisadi linaloweza kununuliwa na yuko tayari kumtukana yeyote ili mradi anapewa pesa, ana chuki isiyo koma
Hahaha yaani walikuwa wanawaingiza mkenge nyumbu kwa kutumia lugha za kibeberu "Join the Chain" nyumbu wanajiona wajuzi wa mambo kumbe wanapigwa kisogoni!! 😀😀.... Peoplesss.....paaawaaa!!Na wewe tulia huko huko kwa mumeo mpya...kimekuwasha nini mzee?? au na wewe ulikuwemo kwenye kampeni za mapinduzi eti mkaita Join the chain binadamu bana.
Nyerere alijijengea heshima kustaafu kwa hiari 1985. Nayeye angefanya hivyo. Ukistaafu heshima inapanda kama kocha Nabi wa Yanga. Ukitolewa unaaibikaNahisi mwenyekiti ameshaona hayupo sahihi ila anaogopa kuachia ngazi ili asionekane mdhaifu
Lingekuwa jambo la maana sana kwa mwenyekitiNyerere alijijengea heshima kustaafu kwa hiari 1985. Nayeye angefanya hivyo. Ukistaafu heshima inapanda kama kocha Nabi wa Yanga. Ukitolewa unaaibika
YSACCOSS ya wachaga [CHADEMA] inazidi KUBAGAZWA.
Tuendelee kumuombea MBOWE azidi kuwa mstahimilivu katika dhoruba hii kubwa dhidi ya SACCOS yake.
Nimemsikiliza Wenje. Yeye hoja yake ni kuwa hilo Baraza Kuu lengo lake lilikuwa kumuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti. Amesema pia aliyeasisi wazo hilo ni Lema na ndie aliyekuwa Mwenyekiti wa shughuli nzima. Katika dunia ya leo sio lazima mtu uwe nchini ndio uweze kusimamia mambo na kuhudhuria vikao. Mimi ningependa kujua ajenda ya hilo Baraza Kuu ilikuwa nini maana mojawapo ya majukumu yake ni kuchagua viongozi wa chama. Inawezekana kabisa kuwa wakina Lema waliamini kuwa Mbowe hatatoka mapema sio kwa sababu ni gaidi bali experience yao kuwa kesi inaweza kuendeshwa kwa miaka mingi tu.Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Pia, Soma: Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue.
Mmh yani inashangaza sana. Huyu mtu wake uwezo wake kichwani ni mdogo sana na hajui kabisa kujenga hoja. Naona Mbowe hana namna, si maamuzi yake, huyu ndiye mtu aliyepewa afanye hiyo kazi. Shida kubwa iko kwa waliomuelekeza Mbowe kuwa huyu ndio awe mshawishi wake. Hii nchi kwa kweli imefika mahali pa hovyo sana. Na mengi labda yanakuja huko mbele ya hovyo zaidi 😣.Hivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.