Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Chadema inazidi kuvurugwa..Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue..View attachment 3203507
Mbowe hakwepi lawama kwa hili.
Quinine zitto junior Fundi Mchundo
