Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Atakufa mweyekiti wa kijani.Hatari sana. Uaneni tu
Kwa nini WENJE?Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue..View attachment 3203507
12BHivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.
Ni project iliyobalikiwa na mwenyekitiKwa nini WENJE?
Mbonaanajiamini sana kwenye project ya kuisambaratishaCHADEMA?
Hivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.
Wakati wenje ni kilaza seniorHivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.
Utasikia...Kunja ngumi ...kunja ngumii...piiipooo.......pawaaaaaa. Kumbe walitufanya fursa wenzetu wanakunja mpunga tu.SACCOSS ya wachaga [CHADEMA] inazidi KUBAGAZWA.
Tuendelee kumuombea MBOWE azidi kuwa mstahimilivu katika dhoruba hii kubwa dhidi ya SACCOS yake.
Safi sana Wenje. Shikilia hapo hapo. Bora mgawane Mbao kuliko kumuachia Lissu Chama.Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue..View attachment 3203507
Naona hapo tatizo hapa lipo CCM, mnakuwaje na mtu saa zote anashambuliana na chama alichotoka halafu bado mnamwacha tu kuonekana adui mmoja amejificha ndani ya kijani?Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama ,
Wala sio kufanya mapinduzi.
Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga..
Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue..View attachment 3203507
Kuna watu huona chongo ni kengezaHivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.