Peter Msigwa: Wenje ni Muongo, nitatoka na ushaidi mzito kuhusu wewe ili Watanzania wajue ulivyo mjinga

Jaluo kayatimba kudadadadeq
 
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Sisi tunataka aliyeshikilia hela za Join the Chain, hayo mengine mtajuana. Kwa hiyo Msigwa unatuambia wewe na Heche mmoja wenu ndio anazo hela za Join the Chain, na sio Lema?
 
Wenje anazidi kumuingiza Mbowe kwenye matatizo. Hilo buyu atakalopasua Lemma na Msigwa anaweza akakimbia nchi.
 
Waliokula hela za join wanaanza kujitokeza mmoja mmoja, na wote wameitisha press conference
 
Msigwa aliwahi sana ku surrender ... ngoma ingenoga sana akiwa ndani kuliko huko nje, au kama vipi arudi tu kwa dharura
Nimecheka sana..... Arudi kwa hati ya dharura..... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hatukutegemea kufika huku kabisa yani, ila wakivuka salama hapa watakua wamekomaa sawasawa
uko sahihi gentleman,
lakini kwa aina ya watu wenyewe na style ya uvuanaji nguo inayoendelea miongoni mwao, sidhani huu moto wa siasa kama utazimika, nadhani utaendelea hata baada ya uchaguzi wao 🐒
 
Kwenye hili la Join the Chain ipo kazi. Ila Msigwa hata aseme nini simuamini.

Amandla...
 
Wenje kwa kumuangalia tu unamuona ni kilaza.

Wenje moja kwa moja namfananisha na Nape.
 
Wenje ukimuona tu utajua ni muongo, Kitendo Cha kukiri ni rafiki wa abdul Mimi Sina Imani naye kamwe...
 
Peter Msigwa ni nani alichukuwa jukumu la kusimamia fuko la ukusanyaji pesa za 'Join the Chain' March 2022 baada ya kukamatwa Mbowe Julai 2021?
NUKUU
Mbowe alikamatwa na kutangazwa tarehe 23 Julai 2021 huko jijini Mwanza kwa tuhuma za kupanga njama kufanya ugaidi Tanzania.
"...
https://www.facebook.com/sharer.php...hikiliwa-na-jeshi-la-polisi-tuhuma-za-ugaidi/
Jeshi la Polisi limesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama ya kufanya vitendo vya kigaidi ikiwepo kuua Viongozi wa Serikali ambapo wenzeka 6 walishafikishwa Mahakamani.
Kama ilivyo kwa baadhi ya Watu kucheza na nyakati na matukio akaona ni vyema akimbilie Mwanza kwa kigezo cha kongamano la Katiba Mpya ili akikamatwa Umma uamini amekamatwa kwasababu hiyo”- Jeshi la Polisi
‘Hata hivyo uchunguzi unaendelea kule Mwanza kutokana na vitendo vya uvunjifu wa amani, ukibaini kuna sheria aliyovunja hatutasita pia kumfikisha Mahakamani pamoja na Viongozi wenzake wanaoshikiliwa kule-Jeshi la Polisi..."


Kama Lissu and Lema walikuwa ughaibuni na wewe pamoja na Heche mkabaki mlisimamiaje michango ya wapenzi wa CDM kwenye 'Join the Chain' na mhazini alikuwa nani?

Je mlisomewa taarifa ya makusanyo kabla ya Mbowe kutolewa gerezani 2023?



Join the Chain







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…