Peter Msigwa: Wenje ni Muongo, nitatoka na ushaidi mzito kuhusu wewe ili Watanzania wajue ulivyo mjinga

Haahaa wenje kaumbuka
 
Sisi tunataka aliyeshikilia hela za Join the Chain, hayo mengine mtajuana. Kwa hiyo Msigwa unatuambia wewe na Heche mmoja wenu ndio anazo hela za Join the Chain, na sio Lema?
Join the chain mnyika anajua, wenje muhongo tu
 
Na wewe tulia huko huko kwa mumeo mpya...kimekuwasha nini mzee?? au na wewe ulikuwemo kwenye kampeni za mapinduzi eti mkaita Join the chain binadamu bana.
Hahaha yaani walikuwa wanawaingiza mkenge nyumbu kwa kutumia lugha za kibeberu "Join the Chain" nyumbu wanajiona wajuzi wa mambo kumbe wanapigwa kisogoni!! πŸ˜€πŸ˜€.... Peoplesss.....paaawaaa!!
 
Nahisi mwenyekiti ameshaona hayupo sahihi ila anaogopa kuachia ngazi ili asionekane mdhaifu
Nyerere alijijengea heshima kustaafu kwa hiari 1985. Nayeye angefanya hivyo. Ukistaafu heshima inapanda kama kocha Nabi wa Yanga. Ukitolewa unaaibika
 
Nyerere alijijengea heshima kustaafu kwa hiari 1985. Nayeye angefanya hivyo. Ukistaafu heshima inapanda kama kocha Nabi wa Yanga. Ukitolewa unaaibika
Lingekuwa jambo la maana sana kwa mwenyekiti
 
Ameayatimba mwenyewe! Acha akinywee mwenyewe kikombe hiki na msalaba ataubeba. ALITAKIWA ASOME ALAMA ZA NYAKATI MAPEMA AACHIE NGAZI
SACCOSS ya wachaga [CHADEMA] inazidi KUBAGAZWA.

Tuendelee kumuombea MBOWE azidi kuwa mstahimilivu katika dhoruba hii kubwa dhidi ya SACCOS yake.
Y
 
Nimemsikiliza Wenje. Yeye hoja yake ni kuwa hilo Baraza Kuu lengo lake lilikuwa kumuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti. Amesema pia aliyeasisi wazo hilo ni Lema na ndie aliyekuwa Mwenyekiti wa shughuli nzima. Katika dunia ya leo sio lazima mtu uwe nchini ndio uweze kusimamia mambo na kuhudhuria vikao. Mimi ningependa kujua ajenda ya hilo Baraza Kuu ilikuwa nini maana mojawapo ya majukumu yake ni kuchagua viongozi wa chama. Inawezekana kabisa kuwa wakina Lema waliamini kuwa Mbowe hatatoka mapema sio kwa sababu ni gaidi bali experience yao kuwa kesi inaweza kuendeshwa kwa miaka mingi tu.

Aidha, kwenye mambo ya ushahidi, wengi tunakumbuka kuna kiongozi mmoja ilibidi amuombe msamaha Kinana kwa kumsingizia jambo.

Amandla...
 
Hivi kwann Mbowe ameamua Kukubalia Wenje , ndio awe mshawishi wake Mkuu?.
Mmh yani inashangaza sana. Huyu mtu wake uwezo wake kichwani ni mdogo sana na hajui kabisa kujenga hoja. Naona Mbowe hana namna, si maamuzi yake, huyu ndiye mtu aliyepewa afanye hiyo kazi. Shida kubwa iko kwa waliomuelekeza Mbowe kuwa huyu ndio awe mshawishi wake. Hii nchi kwa kweli imefika mahali pa hovyo sana. Na mengi labda yanakuja huko mbele ya hovyo zaidi 😣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…