Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

LeoKweli,

..huwezi kushinda Uraisi wa Tanzania kwa kutegemea kura za watu wa Kilimanjaro. they just dont make up the numbers.

..kanda ya ziwa ina watu wengi kushinda maeneo mengine ya Tanzania. sasa Kikwete/mtandao kuwa na harakati zaidi ktk kanda ya ziwa ni jambo linaloeleweka kisiasa.

..sasa kama unadai regional politics kama ulivyoziongelea hapa hazimaanishi kwamba zinanufaisha wananchi walio wengi wa regional husika. je kulikuwa na haja gani kuwahusisha wafanyabiashara hao ni maeneo walikotoka? kwanini usiwataje mmoja mmoja tu?

..mimi nadhani huu utaratibu wa kuwaangalia watu kwa makabila yao siyo mzuri sana. hao wafanyabiashara maarufu toka kanda ya ziwa au kilimanjaro make up what percent ya wananchi wa maeneo hayo?

Swali tunalojiuliza kila siku ni kwamba ni kwanini hatumuoni RA Mahakamani? Post yangu ilikuwa inataka kukuonyesha ni kwanini RA Hajafikishwa mahakamani, Nilikuwa ninaelezea ni kwanini ana gain a very political power therefore Ili kuwa ni lazima nieleze uwiano , Kwamba he is not only powefully policaly but geographically
 
LeoKweli said:
Vita ya Ufisadi Inaweza kupigwana vyema kwa kuisafisha CCM. Hivyo watu kama mengi kama wako serious katika hivi vita, Lazima wawe tayari kuongelea CCM Kama chama inavyo encourage Rushwa. Mpaka sasa hatuoni matunda ya upiganaji wa rushwa kwasababu CCM Imenufaika na pesa za Rushwa na wizi huo.

Huwezi kuniambia uchunguzi uliofanyika miaka 2 unafikishwa mahamani bado watu hawaendi jela ?

Kinachonichukiza mimi ni hii drama ya mengi na RA, Inatutoa kwenye mapambano ya rushwa na ufisadi, RA na Mengi they are intrested in their business influence than Vita ya Ufisadi, that why we need to refocus the discussion to tell wananchi kuhusu ufisadi wa viongozi wote wa CCM na sio mmoja.

LeoKweli,

..sasa nakubaliana na wewe 100%.
 
Usiseme nimetumwa , this is a free forums and people have rights to disagree I am not here just to take postion mimi ni more pragmatic than you think.

You see kumbe wewe Uko upande wa Mengi, Mimi Niko neutral I am trying to analyse the truth and you have an option to agree or disagree with me.

Kama mengi Yuko serious na Vita ya Ufisadi kwanini asiseme CCM ni mafisadi. He has his own intrest that why he is talking about Ufisadi.

Kumbuka ITV imeisadia sana CCM, and the main benefiery of Pesa za Uchaguzi is mengi as well through ITV Unatufanya hatujui hilo.Radio One ETC

Mkuu LeoKweli, sidhani kuwa unataka tuamini kuwa Mengi ni mzembe kiasi cha kuamua kusema CCM yote ni mafisadi. Hayo tuseme sisi tu hapa (kama tunataka).

Mengi ni muumini wa CCM. Na kama mtu yeyote mwenye akili nzuri ana imani kuwa ndani ya CCM kuna watu wenye akili, nia na uwezo wa kuleta tija kwa Taifa. Japokuwa pia anajua ndani ya CCM wapo mafisadi. Ama kwa kauli nyingine, baadhi ya mafisadi pia ni viongozi wa CCM.

Vita vyake na ufisadi hajavihusisha na chama chochote cha kisiasa (at least up to now). Ameweza kuweka bayana kabisa nani anaemjua kuwa ni Fisadi, na amewasema hadharani.

Imani yangu inanituma pia kuwa, ifikapo uchaguzi mkuu 2010, Mengi bado ataendelea kutoa mchango katika ushindi wa CCM kwenye uchaguzi huo. Kwanini anafanya hivyo, SIJUI. Inawezekana kuwa ni kwakuwa anaamini kuwa CCM bado ni chama kizuri tu.

Mkuu, kuwa na upande katika sakata hili ni jambo lisilohitaji mjadala. RA ni fisadi anaeudhi. Kwa vyovyote iwavyo si rahisi kuwa upande wake (labda kwa masilahi maalum). Kama siko upande wake nitakuwa upande wa nani? Walau upande wa Mengi mpaka hapo nae atakaposhindwa kuendelea kustahili imani yangu. Nadhani hivyo ndivyo ilivyo kwa wengi humu.

Nchi hii itajengwa na WaTanzania wenye nia njema. Hao wanaanza kupungua kila siku.
 
Ukiangalia UpandE mwingine watu Kama kina NJAKE wameingizwa kwenye EPA kutokana na CCM kuchukua mafuta Bure kule maeneo ya Moshi, Arusha, Mara, therfore njia ya kumlipa Njake ambaye alikuwa mfanyabiashara mzuri tu kabla hajaingia mkenge wa CCM Ilikuwa ni EPA.

Mengi alikuwa ni secndary benefiary wa EPA through ITV , Nivipindi vingapi ITV na Radio one ilivifanya wakati wa Uchaguzi na ndio maana hawezi kuiita CCM mafisadi kwasababu he is fighting for his postioning and not for Watanzania, based on the facts Watanzania wote tunafahamu vyombo vya habari vya mengi vilikuwa bias tu CCM

RA kamavictim wengine wa EPAalikuwa just a facilitator but the bottomline is the CCM Election Finance ndio chanzo cha ufisadi wote.

Therefore its ingenuine to claim kwamba just certain people are Fisadi, the Fact ni kwmaba CCM should be held accountable

ohh ukabila, regional politics, wachaga, wasukuma, maneno kibao....
si ungeanza tu straight kumtetea RA......
RA victim du.....

kama RA alivyokuwa amejificha mda mrefu watu wakamkamua akatoka ndani ya pango na kusema kinachomsibu...
kwi kwi kwi.....
 
Mkuu LeoKweli, sidhani kuwa unataka tuamini kuwa Mengi ni mzembe kiasi cha kuamua kusema CCM yote ni mafisadi. Hayo tuseme sisi tu hapa (kama tunataka).

Mengi ni muumini wa CCM. Na kama mtu yeyote mwenye akili nzuri ana imani kuwa ndani ya CCM kuna watu wenye akili, nia na uwezo wa kuleta tija kwa Taifa. Japokuwa pia anajua ndani ya CCM wapo mafisadi. Ama kwa kauli nyingine, baadhi ya mafisadi pia ni viongozi wa CCM.

Vita vyake na ufisadi hajavihusisha na chama chochote cha kisiasa (at least up to now). Ameweza kuweka bayana kabisa nani anaemjua kuwa ni Fisadi, na amewasema hadharani.

Imani yangu inanituma pia kuwa, ifikapo uchaguzi mkuu 2010, Mengi bado ataendelea kutoa mchango katika ushindi wa CCM kwenye uchaguzi huo. Kwanini anafanya hivyo, SIJUI. Inawezekana kuwa ni kwakuwa anaamini kuwa CCM bado ni chama kizuri tu.

Mkuu, kuwa na upande katika sakata hili ni jambo lisilohitaji mjadala. RA ni fisadi anaeudhi. Kwa vyovyote iwavyo si rahisi kuwa upande wake (labda kwa masilahi maalum). Kama siko upande wake nitakuwa upande wa nani? Walau upande wa Mengi mpaka hapo nae atakaposhindwa kuendelea kustahili imani yangu. Nadhani hivyo ndivyo ilivyo kwa wengi humu.

Nchi hii itajengwa na WaTanzania wenye nia njema. Hao wanaanza kupungua kila siku.

Umesema Vizuri, Mengi bado ni muumini wa CCM kwasababu anafaidikia, Ndio maana yuko Tayari kugombana na wale anaoshindana nao ila hali ukweli wa mambo anayafahamu kuwa CCM Kama chama ndio chachu ya Ufisadi.Pesa za EPA zimeifaidisha CCM na zimewaharibia majina wafanyabiashara Clean.

Nenda kamwulize mzee Njake atakueleza vizuri, hivyo basi Mimi anachonichukiza mengi ni unafiki, hataki kutaja kiini cha ufisadi .

Pili Mengi kila uchaguzi anaipigia Debe CCM, in return High sales for ITV , ITV husitisha vipindi vingi sana kwaajili ya CCM, He has been a source of polarization ,Hivyo basi kama hawezi kuongelea CCM wapo watu ambao wako tayali to take on CCM Hatutaki unafiki . Sipendi tu mtu anapotumia vita ya ufisadi ku advance his intrest.
 
ohh ukabila, regional politics, wachaga, wasukuma, maneno kibao....
si ungeanza tu straight kumtetea RA......
RA victim du.....

kama RA alivyokuwa amejificha mda mrefu watu wakamkamua akatoka ndani ya pango na kusema kinachomsibu...
kwi kwi kwi.....

Mimi simtetei RA wala sina haja ya kufanya hivyo because the truth is out. He is the part of the system screwed up watanzania.

But kutatua tatizo sio to jump to another personal who want to advance his intrest through vita ya Ufisadi.

System ya Uchaguzi ya CCM ndio chanzo cha UFISADI the rest are just skip got
 
...

RA kamavictim wengine wa EPAalikuwa just a facilitator but the bottomline is the CCM Election Finance ndio chanzo cha ufisadi wote.

did you just say RA ni victim wa EPA kama wengine?.... halafu umesema "CCM election finance ndio chanzo cha ufisadi wote"... do you know kwamba aliyekuwa anasimamia finance ya election ya CCM ni Rostam?.. ina maana Rostam hawezi kuwa Victim.. not in longshot!
 
What power did Rostam had to push BOT? was the governer scared of Rostam? what power did Rostam had to push for free fuel from oil com,Njake and many other ? Unataka kusema Rostam ndio Kamati kuu ya CCM? Eveyone in High level of CCM was fully involved and if we can make CCM to conced that ,we will move one step ahead, Rostam was a by pass because of his financial postion.The sole responsibility of the theft is of CCM High level ledears everyone has his signature in Kind.

Nakuhakikishia if we keep the theory of RA and not include CCM hatfungwa mtu and we weill always end kupiga makelele
 
Too simplistic! Mzee Mwanakijiji kwa nini umeshukuru hii post? does'nt make sense to me at all.
Hata mimi nimestushwa kupita kiasi. Au Mwanakiji alimwachia mtu mwingine akashukuru bila yeye kujua? kama nini yeye ajaribu kuelezea ni kwa nini alitoa shukrani kwa "utumbo" kama huu unaotaka kuchochochea ukabila!!
 
Watanzania kama wewe mwoga mwoga, ndio mnaturudisha nyuma kimaendeleo, The fact is fact haka kama ni za kikabira. Long time tulikuwa hatuwezi kuongelea hata Viongozi walioko madarakani but now we can

Tunaogopa kuongelea mambo ya Kimsingi yanayoturudisha nyuma. Lazim tutegue mtego wa hii issue complexy, we dont need to fix ourself in denial.
 
What power did Rostam had to push BOT? was the governer scared of Rostam? what power did Rostam had to push for free fuel from oil com,Njake and many other ? Unataka kusema Rostam ndio Kamati kuu ya CCM? Eveyone in High level of CCM was fully involved and if we can make CCM to conced that ,we will move one step ahead, Rostam was a by pass because of his financial postion.The sole responsibility of the theft is of CCM High level ledears everyone has his signature in Kind.

Nakuhakikishia if we keep the theory of RA and not include CCM hatfungwa mtu and we weill always end kupiga makelele

LeoKweli... CCM wenyewe wanasema 'chama kama chama hakikumtuma mtu kufanya ufisadi, ni watu wenyewe'.. Hilo swalii la nguvu za RA ni swali ambalo historia itachukua muda kulijibu.

Ndani yao kwenye CCM kuna watu wenye nguvu zaidi (nguvu ya dola) ambao wanaweza kuamuru mvua ikanyesha ikanyesha! RA ana nguvu kubwa, nguvu yake inatokana na ujuzi siyo fedha (kwani wapo wengi tu wenye fedha). Ni nguvu ya mtumishi anayejua nani kafanya nini... ni nguvu aliyoionesha juzi kwenye taarifa yake na ni nguvu aliyoionesha kwa Mtikila...

Kwenye Mafia hakuna mtu ambaye anaogopwa kama anayejua..... ndiyo maana RA hagusiki.... sikiliza maneno yangu: siku RA atasimama na kusema kuwa anataka kusema ukweli juu ya EPA n.k.. that same day itakuwa ni mwisho wake (literally). Amina Chifupa .... Ana nguvu kuliko malaika wa shetani!
 
Nenda NEC CCM ukawaulize? watakueleza vizuri , Kamwulize Sumaye ? Kula (KURA?)za Kanda ya ziwa zilivyomkosesha Uraisi
therefore huo ndio ukweli
Kwa bahati mbaya nilikuwepo pale White House wakati mambo ya CCM kupitishana kugombea kula nchi yetu. lakini pia bahati mbaya nyingine nilikuwepo pale Chimwaga wakati wajumbe wa CCM wanatuchagulia balaa awe Rais wa Nchi yetu.

Amini usiamini mambo ya ukabila yalipandikizwa na wanamtandao kwa kutumia propaganda kwenye vyombo vya habari ili wawashinde Dk.(wa Kweli) Salim Ahmed Salim, Sumaye na Mwandosya.

watu wa kanda ya ziwa waliambiwa watu wa kanda ya Nyanda za juu kusini na kusini wameunda kitu kinaitwa "mtwara Corrido' wanataka kuiteka nchi!

watu wa kusini na Ruvuma,iringa na Rukwa waliambiwa kuwa Wanyakyusa wanamtaka Mwandosya ili nchi iendeshwe kikabila. kanda ya kaskazini wakaambiwa ni heri Kikwete kuliko Sumaye kwani Kikwete ni mtu anayejali sana maslahi ya wamasai chalinze.

Zanzibari wakaambiwa Salim ni mpinzani wa Mapinduzi ya Zanzibar! kikwete akapita katikakati kama mtakatifu. Hakuna ukabila ila watu wa mtandao ndiyo mpaka leo wanataka kupandikiza hofu ya udini na ukabila!
 
Watanzania kama wewe mwoga mwoga, ndio mnaturudisha nyuma kimaendeleo, The fact is fact haka kama ni za kikabira. Long time tulikuwa hatuwezi kuongelea hata Viongozi walioko madarakani but now we can

Tunaogopa kuongelea mambo ya Kimsingi yanayoturudisha nyuma. Lazim tutegue mtego wa hii issue complexy, we dont need to fix ourself in denial.

Hoja hapa siyo woga bali mantiki. kama shati limeraruka huwezi kujadili kidoa kidogo kilichopo kwenye shati, kwamba eti ndiyo chanzo cha shati kuraruka! Huo ni uwenda wazimu! Self Denial?
 
Hayo mambo ya ukabila power etal.. ni spin, tena msitake kutuvuruga na kutupandikiza fitina ili tuache kushikama kuyaangusha mafisadi!

Hapo swala ni wezi wachache kuiba hela zetu na kutumia hizo pesa kuiweka serikali madarakni,na kibaya zaidi kuipangia uongozi hivyo kuifanya serikali nzima vibaraka wao kwani hawawezi kuwagusa kwa vile ndo wali waweka!

Hizo propaganda zenu ni za kubuni kuhisi na your wishful thinking!

turudi vitani wakuu, hakuna cha kabila la kijani wala blue, hapa ni mafisadi wote kurudisha kilicho chetu period!

Hili swala ukiliangalia kwa makini utagundua kwamba ni DIVIDE AND RULE. Hivi unaposikia Ukabila unafikiri ulianzaje huko Rwanda au kwingineko? mzee hao watusi na wahutu ni kama wewe na mimi..ni kwamba kuna wajinga wachache waliotaka kujinufaisha wakaamua ku-play hiyo kadi ya ukabila..ingawa waliokufa na wanaoumia mpaka leo ni wananchi masikini.. With financial prowess ya RA ni rahisi kuwatumia the so called wasukuma akina Chenge or Ngeleja. Mimi Masanja..matatizo yangu yako pale pale ingawa ukiongelea wasukuma na mimi nimo! Kama umechunguza politics za nchi yetu for the past ten years..utagundua ni namna gani ukabila/ukanda umeanza kujiingiza kwenye siasa zetu. Its all about NJAA. Hivi kama hao wa UVCCM waliotoa tamko kumtetea RA..unafikiri ni nini? Ilikuwa ni njaa tuu..wale wanatumiwa...ingawa hawajijui..Usicheze na pesa mkuu.... Root cause ya haya matatizo yoooote ni njaa inayosababishwa PARTLY na huu ufisadi usiokoma.

Mimi nakuunga mkono kwa hili FISADI NI FISADI tuu..wanaoumia ni wasukuma, wachaga, wakwere, waha etc...inabidi tuipigane hii vita collectively..lakini vile vile..tuangalie hawa jamaa wanaotaka sympathy kwa kutumia mgongo wa ukanda...Its sad lakini ndo ukweli..ukishakuwa madarakani..you will do anything to remain in power. Na historia inatuonyesha kwamba nchi zote zenye amani..zimeteketea kwa maslahi ya watu wachache..walioamua kuingiza kadi ya ukabila..talk of Ivory Coast..one of the most prosperous African country...today it is in ruin..as a semi-state... Tanzania has changed since the days of mwalimu..we have to confront the reality of today to build the better tomorrow. Tuache hangover ya mwalimu..tukabiliane na matatizo yetu. Hii denialism kwamba TZ hakuna ukabila wala udini ..tunajaribu kuahirisha matatizo..Let us solve them before it is too late.
 
Tuache hangover ya mwalimu..tukabiliane na matatizo yetu. Hii denialism kwamba TZ hakuna ukabila wala udini ..tunajaribu kuahirisha matatizo..Let us solve them before it is too late.

hakubna anayekataa kwamba nchi mwetu umeanza kujitokeza ukabilahata mwalimu aliwahi kukiri hivy. tunachokata kwenye ishu hii main issue si ukabila!
 
naogopa kabisa kufikiria hoja ya kikabila.. kwa sababu in that case watu wa magharibi watashinda hands down! Hapana.. hii ni kati ya watu wanaoamini kuwa utajiri wa nchi ni wa kwao peke yao na wale ambao wanataka tugawane utajiri huo.

Hivyo Vodacom naamini ni mahali kama pa recruitment.. haiwezekani:

Dr. Idris
Ngeleja
Noni
Rostam
n.k something is very wrong.. kama RA ameweza kukuamini kwenye Vodacom.. you have passed the test

Jumlisha:
ALPHATEL- Vodacom Superdealer- LOWASA
SHIVACOM - Vodacom Superdealer- TANIL SOMAIYA
 
Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!

Mpango huo ulifanikiwa kwa ushirikiano mkubwa na usaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge.

Well.. je waridi likiwa na rangi nyingine laweza kuwa si waridi?

Mwanakijiji,
Ukiingia kwenye website ya Vodacom sasa hivi inaonyesha wana hisa wa Vodacom Tanzania ni Vodacom (SA) 65% na Mirambo (35%) kwa maana hiyo hisa zimeshauzwa. kabla ya hapo Planetel ilikuwa na hisa 16 % na Caspian (19%). Na sasa hivi hiyo kampuni ya Mirambo imeomba kibali kwa TCRA ili iuze hisa zake kwa mwekezaji wa nje (kinyume na sheria za nchi) huenda akawa yule mmliki wa Dowans kutoka uarabuni. Peter Noni kama RA sidhani kama jina lake linaonekana huko Planetel kwani ninavyojua anamtumia mkewe ambaye pia anamiliki Sapna Telecomunications.
 
Mwanakijiji,
Peter Noni kama RA sidhani kama jina lake linaonekana huko Planetel kwani ninavyojua anamtumia mkewe ambaye pia anamiliki Sapna Telecomunications.

Damn me! Correct if i am wrong, but i thought Sapna Electronics ni ya Wahindi pia sidhani kama mke wa noni anahusika, anyway Blandina Nyoni( Former Treasurer Mkuu wa Serikali) mume wake ni nani? Pia i thought mume wake yuko BOT and frankly speaking nilifikiri kuwa ni Noni huyu. Ngoja nicheki makabrasha kwa reference zaidi. Anayejua connection between Katibu Mkuu Nyoni na Noni atuelemishe!!

Peace, Killuminati
 
Ni kitu gani kilimuunganisha Noni na Rostam hadi a. wakawa wote na hisa kwenye Vodacom na b. Wote wakauza hisa zao kwa Mirambo. Nani anamfuata nani?
 
Back
Top Bottom