LeoKweli,
..huwezi kushinda Uraisi wa Tanzania kwa kutegemea kura za watu wa Kilimanjaro. they just dont make up the numbers.
..kanda ya ziwa ina watu wengi kushinda maeneo mengine ya Tanzania. sasa Kikwete/mtandao kuwa na harakati zaidi ktk kanda ya ziwa ni jambo linaloeleweka kisiasa.
..sasa kama unadai regional politics kama ulivyoziongelea hapa hazimaanishi kwamba zinanufaisha wananchi walio wengi wa regional husika. je kulikuwa na haja gani kuwahusisha wafanyabiashara hao ni maeneo walikotoka? kwanini usiwataje mmoja mmoja tu?
..mimi nadhani huu utaratibu wa kuwaangalia watu kwa makabila yao siyo mzuri sana. hao wafanyabiashara maarufu toka kanda ya ziwa au kilimanjaro make up what percent ya wananchi wa maeneo hayo?
Swali tunalojiuliza kila siku ni kwamba ni kwanini hatumuoni RA Mahakamani? Post yangu ilikuwa inataka kukuonyesha ni kwanini RA Hajafikishwa mahakamani, Nilikuwa ninaelezea ni kwanini ana gain a very political power therefore Ili kuwa ni lazima nieleze uwiano , Kwamba he is not only powefully policaly but geographically