Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

- Nilijua utarukia hilo, hapana ameorodheshwa kwenye Wizara ya kazi, Brela wanaorodhesha makampuni, lakini waajiri wote lazima waishie kuorodheshwa wizara ya kazi, again yale yale hoja hakuna! ni vyema ukajionea huruma mkuu kama ulivyosema!

FMEs!

Haya sasa. Waajiriwa wa makampuni yote tanzania wanaorodheshwa wizara ya kazi? Madereva, makarani, walinzi n.k ? Huko wizara ya kazi, idara gani? Na kila akihama au akiachishwa mfanyakazi lazima uripoti wizara ya kazi? na kila ukiajiri mtu mpya ni lazima uripoti wizara ya kazi? Unajua kweli unachozungumza?

Kweli hautuonei huruma wenzako.

Amandla.........
 

- Sasa unamteteaje Rostam huku huna dataz zake mkuu?

FMES!

Mimi nasema caspian ni ya Rostam. Wewe uliye na data tofauti ndiye unayepaswa kuziweka hadharani ili uongo wetu uwe wazi! Kigugumizi cha nini, Mkuu, kuwataja wenye Caspian na Mirambo?

Amandla.........
 
Haya sasa. Waajiriwa wa makampuni yote tanzania wanaorodheshwa wizara ya kazi? Madereva, makarani, walinzi n.k ? Huko wizara ya kazi, idara gani? Na kila akihama au akiachishwa mfanyakazi lazima uripoti wizara ya kazi? na kila ukiajiri mtu mpya ni lazima uripoti wizara ya kazi? Unajua kweli unachozungumza?

Kweli hautuonei huruma wenzako.

Amandla.........

- Jioneee huruma mwenyewe kwa uvivu wa kutofikiri, kwamba Wizara ya kazi nimesema wanaorodheshwa waajiri, sio waajiriwa Bwa! ha! ha! Duh unachekesha sana hapa mkuu Bwa! ha! ha! ha!

FMES!
 
Mimi nasema caspian ni ya Rostam. Wewe uliye na data tofauti ndiye unayepaswa kuziweka hadharani ili uongo wetu uwe wazi! Kigugumizi cha nini, Mkuu, kuwataja wenye Caspian na Mirambo?

Amandla.........

- Ninaruida tena kwamba hizo kampuni kule Brella haziko under Rostam, na hata zingekwua haziajiri wafanyakazi 6000 kama alivyosema! Kwa hiyo hizi ni kamba mkuu!

Respect.

FMES
 
- Jioneee huruma mwenyewe kwa uvivu wa kutofikiri, kwamba Wizara ya kazi nimesema wanaorodheshwa waajiri, sio waajiriwa Bwa! ha! ha! Duh unachekesha sana hapa mkuu Bwa! ha! ha! ha!

FMES!

Sekretari na dereva sasa wamekuwa waajiri sasa? Si ndiko huko ulikopata dataz kuwa Rostam ameajiri dereva na sekretari tu! Na kama huko wizara ya kazi wanaorodhesha waajiri tu, umejuaje kuwa Rostam ameajiri sekretari na dereva tu!

Au wizara ya kazi unayoizungumzia ni Ministry of Works ambako makandarasi wanatakiwa kujiandikisha?

Amandla.........
 
For some resorn kuna watu wengi tu wanamakampuni Under trust. Ukiwa na kampuni sio lazima jina lako liwe kwenye shareholders list. Kuna watu wengine wanawatumia their attoney to represent their shares therefore I dont see any problem

na hiyo trust inakuwa kwenye jina la nani?
majina ya kwenye trust yanatakiwa yajulikane
na huyo lawyer anakuwa anamuwakilisha nani?
mtu ambaye huyo lawyer anamuwakilisha anatakiwa ajulikane

je ra ana trust unazosema wewe?
hata hiyo trust lazima ijulikane wenyewe ni nani
 
FISADI NAMBA MOJA NI C C M musidanganyike mukababaisha bila kungoka CCM na ufisadi hauwezi kuondoka Tanganyika kwasasababu ndio biashara yao kubwa
 
Mimi nasema caspian ni ya Rostam. Wewe uliye na data tofauti ndiye unayepaswa kuziweka hadharani ili uongo wetu uwe wazi! Kigugumizi cha nini, Mkuu, kuwataja wenye Caspian na Mirambo?

Amandla.........

Ulishathibitisha BRELLA?
 
- Mkuu mimi ndiye hasa nimemuandama Rostam kwa kauli yake kwamba ameajiri wafanyakazi 6000, huku akiwa hana kampuni hata moja iliyoandikishwa kwa jina lake, kama Mengi. Kama hoja yako ni valid basi angesema kampuni zinazomilikiwa na familia yangu, tumekuomba sana uzitaje umeshindwa kabisaa sasa unajaribu kuhalalisha hoja yake Rostam kwa habari ambazo hazina uhakika, ninakuomba tena hebu zitaje kampuni zzinazomilikwa na familia yake kwa sababu Brela hakuna kampuni hata moja iliyosajiliwa kwa jina lake, au familia yake!

- Kampuni ya Caspian haiko kwa jina lake, na wala yeye sio majority share holder, meaning kwamba anaficha something, sasa ni nini hasa anachoficha?

- Rostam amedai kwamba Mengi ni fisadi kwa sababu amekopa hela nyingi sana za Commodity Import Support, lakini Rostam mwenyewe alipobawna sana na Kubenea ikiwa ni pamoja na kuonyeshwa ushahidi, Rostma alikubali kwamba hata yeye anadaiwa hela nyingi sana za mtindo huo huo wa Commodity Import Support, ambazo zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya kuwasaidia wafanya biashara nchini, alisema " wengi tulikopa na tunaendelea kulipa."

Sasa hivi kazi ni moja tu nayo ni kukata mzizi wake wa urafiki na rais, then kumfikisha kwenye sheria, pole pole tunamkaribia maana kesi ya Mengi tayari iko mahakamani.

Respect.

FMES!

maswali mazuri FMES, naona kwenye hili tuko pamoja mpaka kieleweke kama anataka, asipotaka tumlazimishe RA atueleze kwa kutumia state machinery!!
 
Imetoka hapa:ThisDay

Mbona mnachanganya mambo? Kutokana na taarifa mnayo quote, Caspian Construction Limited ambayo inajulikana kuwa ni ya wakina Rostam walikuwa na asilimia 19 za share za Vodacom na Planetel ambayo kutokana na maelezo ya Mzee mwanakijiji ni ya Noni, ilikuwa na asilimia 16, jumla kwa pamoja walikuwa na asilimia 35. Inavyoelekea ( ingawa si wazi) Planetel na Caspian waliuza share zao kwa Mirambo ( ambayo inadaiwa tena kuwa ni ya Rostam). Inavyoelekea tena ni kuwa Mirambo ilikuwa ikitafuta mkopo kutoka nje za nchi na walitaka kutumia share zao kama collateral kwa mkopo huo na si kuwauzia hao wageni. Share hizo zingeuzwa kama wange default kwenye mkopo huo. Sasa kuna ufisadi gani kwa mfanyabiashara kuomba kibali cha kuweka share zake mwenyewe kama collateral? Au tatizo ni kuwa benki yenyewe ni ya kigeni? Katika hii dunia ya kisasa ambapo fedha hazina mipaka lazima suala hili lingejitokeza. Kudai kuwa kujitokeza huko ni alama ya ufisadi ni unfair.

Amandla.........

Tatizo ni hayo makampuni kumilikiwa na vivuli vya watu kule BRELLA na kutumika kama money laundering na wajanja wachache.
 
Maswali ya wakili wa Mengi yamemfanya ajifanye kafunga mjadala. Atuambie ana kampuni ngapi? Na ziko kwa majina ya nani? Au ndio mambo yake ya kona kona ili kampuni ikiharibu mahali awe si mmiliki. Kama Caspian si yake huwa anafanyaga nini ofisi za jengo la Mirambo 50 kila siku range rover yake naiona inaingia
 
Ulishathibitisha BRELLA?

Sijathibitisha maana namwamini Mzee Mwanakijiji. Na Rostam mwenyewe amesema kuwa Caspian ni ya kwake. Sasa nyie mnaobisha kwa nini mnashindwa kutuambia nani ndiye mmiliki halali wa Caspian Construction Company. Kwa kuwarahisishia, nendeni hata Contractors Registration Board mtapata mnachotaka!

Amandla......
 
Hoja gani tena, Mkuu? Mnajicontradict wenyewe halafu unanilaumu mimi! Mzee Mwanakijiji ndiye aliyeleta hoja mama hapa sasa wewe unataka tumdharau tukusikilize wewe? Mzee Mwanakiji ambae si mshabiki wa Rostam by all means anasema hizi kampuni ni za Rostam na wewe ambae nawe si shabiki wa Rostam unasema si zake, sasa tumuamini nani? Mbona unashindwa kutueleza hizo kampuni za Caspian na Mirambo ni nani wameorodheshwa kama wamiliki? Ni lazima uwajue maana unajua kuwa si Rostam wala ndugu zake wameorodheshwa! Hili nalo lina ugumu gani? Au hauwajui il hali ulikuwa unafurahisha baraza! Na kama unavyodai, Rostam hamiliki kampuni yeyote (ikiwemo Kagoda) hayo mapesa ya EPA aliyachota vipi? Alikuwa anaenda dirishani BOT kupokea?

Tuoneeni huruma wenzenu. Hatuja soma lakini si punguwani kiasi hicho!

Amandla.........


Kama haya yote pamoja na ya Kagoda umetumwa na mapapa kuja kutueleza ni ya kweli, RA aende mahakamani kumshitaki Mengi na Dr Slaa wanamchafulia jina. Kimya chake kinatufanya tuamini maneno ya Mengi. Mengi mwenzake kafungua ya kudhalilishwa nae basi RA afanye.

Afadhali umeeleza haujasoma na ningekujua nungekupeleka shule hata ya ngumbaru
 
Nadhani ingekuwa vyema tukajadili mamabo kwa upeo na bila ya jazba.
Tatizo la Tanzania inaonekana kwamba watu hawawezi kujadili jamo bila ya kuhusisha ukabila, dini na mabo mengine kama hayo.
Sawa kila kitu kina umuhimu wake lakini katika sehemu inayohusika tusiparaganye mambo tuwe waelewa zaidi na tujadili mambo logically,i.e.akimkosoa nyerere sio kwamba hampendi au haoni mema yake lakini ana mengi mabaya ya kutisha aliyoyafanya hapa nchini ambayo ki msingi yamekuwa ndio zao la hao mafisadi wa sasa, kwani Mkapa ni mwanafuzi wa nani? kaingizwa kwenye siasa na nani? kalelewa kwenye siasa na nani? kapewa uraisi na nani? sjawabu utapata ni nyerere ndie aliefanya na kusimamia ufisadi kule chimwaga mpaka mkapa akaupata uraisi na mkapa akawa kiranja wa ufisadi nchini baadae.
Kuhusu Rostam na Mengi kwa upande wangu nawaona wote ni mafisadi tu ingawa mwanakijiji anamtetea sana Mengi na kutoa kutufanya tuambini kama rostani ndio fisadi lakini tusidharau madai ya Rostam pengine kutoka na mtandao wake alionao ndo kapata data kuwa Mengi ni mkwepaji wa kodi na mwizi halipi mikopo na licha ya kuonesha vielelezo kuwa sio mwizi havimsafishi kwani rostama anadai Mengi kashirikiana na watumishi wasio waaminifu kupika nyaraka,ni mahakama tu.ndio itawasafisha wote,kwa mimi Rostam ni fisadi na mengi ni fisadi tu.
 
Back
Top Bottom