Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.

Pia soma

 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.
"Akitumaliza sisi atahamia kwenu" wacha aonje ladha halisi ya wanyonge.
 
Back
Top Bottom