Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Hapa kazi tu....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh kumbe zinaitwa Airbus ?? Basi kwa sababu drimulaina imekuja ndio maana kakamatwa asiharibu soko .
Wewe mkuu unaonekana unafaidika na huyu Zacharia! Hakuna mtu wa kanda ya ziwa asiyejua uharifu wa huyu mtu amemwagia madereva wa mabus wengi tindikali eti kwa sababu ya mabus yake kuzidiwa barabarani amechukua mali za Nyanza amekuwa akifanya matendo ya kiharifu ndani ya ziwa victoria. Orodha ni ndefu sana nimeamini Mungu ni wa wote naye zake zimefika alifikiri akiandika mabus yake majina ya Magu atapona... hii serikali ya awamu ya tano haina kujipendekeza ni kazi tu tena za halali.Serikali hii ya JPM inawaibia Pesa matajiri wa Nchi hii lkn inaanza kwa kuwaomba Pesa, wanatoa, kisha inarudia mara kadhaa, kiasi kwamba wanajikuta wameishiwa Pesa kbsa. Matajiri hao wanapositisha kuchangia, JPM huanza kuwaandama kwa vitisho, utekaji, uteswaji na uuwaji!
Heri yao wale wasiyoshsngilia kitendo hiki anachofanyiwa Tajiri Zacharia. Serikali ya JPM siyo rafiki kwa yeyote aliye Tajiri!
JPM ndiye muasisi wa WATU WASIYOJULIKANA, na baadhi ya watu wenyewe ndiyo wale waliotaka kumteka Tajiri Zachari naye huku akijua kbsa, akijilegeza watampeleka kumtesa na kumuua, aliamua kujitetea kwa namna ile. Kwa maana nyingine, Mungu alikuwa pamoja na Zacharia la sivyo angelikuwa ameshakufa!
Serikali ya JPM huwafungulia matajiri kesi za uhujumu uchumi ili kuwanyima dhamana wabaki Gerezani ili wapate fursa ya kuwaibia Pesa zao Benk, matajiri hao wanapoachiwa huru kutoka Gerezani, hukuta tayari account zao kwenye mabenk, ziko tupu, pesa zote zimefyonzwa! Niaibu kwa Serikali kuiba Pesa ya wanainch wake wenyewe waliotafuta Fedha kwa juhudi, weledi na jasho lao wenyewe.
Watu waliotaka kumteka Mh.Zacharia wamefanywa nni!? Kwa nni kwenye Gari yao, waliweka namba feki km kweli hawakuwa na nia mbaya!? Je, watu wale wanaruhusiwa kukamata mwananchi!? Maswali haya yawasaidie wale wote wanaoshangilia kukamatwa kwa Tajiri huyu.
Leo ni kwake, kesho ni kwetu, chatu yuko anakua taratibu ipo siku atakuwa na uwezo wa kutumeza wote!
Yule gwiji wa 10% hafungiki. Maana katiba tu kaichora yeye. Yule ni mastermind hakika. Anachezaga na loopholes tu ukija futailia humkamati na huna ushahidi;-)Nyoka wa makengeza vipi nae, au analiwa timing?
Zakaria ni mbabe hadi na staff wake nao wameiga ubabe wake.Zama zimebadilika
Huyo Zacharia sina maslahi naye wala simjui na sijawahi kufika Mkoa wake, isipokuwa ninatumia uzoefu na record mbovu ya vitendo vya Serikali ya JPM na watu wake WASIYOJULIKANA ktk kutathmini na kulaani maovu anayowatendea matajiri wa Nchi hii! Kwa nni wamemfungulia mashitaka kipindi hiki ambacho hao Watu wasiyojulikana wanaojiita Usalama wa Taifa, kushindwa kumteka na kumpeleka kusikojulikana!? Yaani baada ya jaribio la kumteka kushindikana ndipo wameona ni bora wamtie kizuizini na hayo maovu yake Zacharia kuanikwa!? Kwa nni wasingelimkamata na kumfungulia mashitaka kabla ya siku ile km kweli nia ya Serikali ilikuwa ni njema!? Kuna maswali mengi juu ya jambo hili, bwana!Wewe mkuu unaonekana unafaidika na huyu Zacharia! Hakuna mtu wa kanda ya ziwa asiyejua uharifu wa huyu mtu amemwagia madereva wa mabus wengi tindikali eti kwa sababu ya mabus yake kuzidiwa barabarani amechukua mali za Nyanza amekuwa akifanya matendo ya kiharifu ndani ya ziwa victoria. Orodha ni ndefu sana nimeamini Mungu ni wa wote naye zake zimefika alifikiri akiandika mabus yake majina ya Magu atapona... hii serikali ya awamu ya tano haina kujipendekeza ni kazi tu tena za halali.
Walimtetea siku ya kwanzaLakini leo anatetewa
Haaahaaaaa vp waliotusababishia hasara ya trillion 400+ za ile kamati ya makinikia.... Almasi na tanzanite pia walitajwa unaweza kusema ni lini wameshakamatwa??? Tuambie ni lini wanafunguliwa mashtaka??CCM hatufugi majambazi, aliondoka lowasa na kingunge, na sumaye na tukashinda kwa kishindo sembuse huyu jambazi na mla jasho la wengine
Bado yupo nyavuni aseee.... Aliambiwa achague kurudisha Mali za nyanza au apambane na kesi ya uhujumu uchumi...kakaza kaamua kupambana na kesi yupo butimba hapo amehifadhiwa.... Mara paaaaap Mme nae kesi ya uhujumu uchumi.... Nnachokiona Jiwe anapambana sana na waliokula Mali za ushirika... Si mnajua tena Jiwe alifanya kazi nyanza pale kama QUALITY CONTROLLER .... ANAWAJUA WOTE WALIOKULA NA KUFUJA MALI ZA NYANZA....anapambana nao kivingine. Waachie tu Mali kama Manji yaisheNa mkewe pia ana kesi ya kuhujumu mali za chama kikuu cha ushirika cha mkoa wa Mwanza (NYANZA) au NCU, alikuwa rumande sijuia kama yuko huru au bado
Nani huyo, Chenge?Yule gwiji wa 10% hafungiki. Maana katiba tu kaichora yeye. Yule ni mastermind hakika. Anachezaga na loopholes tu ukija futailia humkamati na huna ushahidi;-)