Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Zakaria ajiandae kufilisiwa na shetani jinamizi pepo mkuu cz hakuna namna.
 
Alianza manji sasa zakaria. Who will be the next one!!.

*ccm msidhani mpo salama*
*kila mmoja atafikiwa, including u kijani kibichi unaesoma hii comment*
 
Lisu aliposema atakuja kwenu mliona ni mjinga ila bado mpaka viherehere wote mnywee
 
Wasiwasi ni haki tu itendeke...uhujumu uchumi umekuja baada ya kuwapiga au ulikuepo?
 
CCM imeanza kuwatafuta watoto wake baada ya kumalizana na CDM .... ha ha ha
 
Huyu ndio alikuwa anamwagia watu tindikali, anawapiga watu risasi, anadhulumu Bila kuchukuliwa hatua yoyote. Mungu ni mkubwa, sasa ale jeuri yake
Lakini leo anatetewa
 
Jamani mbona hata hatupewi habari za kina kuwa huyu Zakaria katofautiana nini na wakubwa? Mbona mnafurahia tu binadamu mwenzenu kusumbuliwa??? Alifanya nini hasa mpaka anasumbuliwa???

Injustice anywhere is injustice everywhere.
 
lissu njoo haraka!! sasa kahamia kwao!! wamemkosa huku wameamua kumpa kes ya kuonja joto ya utawala.

wana ccm ubaya hauna kwao!!!
 
Back
Top Bottom