Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

ni kweli ila ndio lugha siku hizi ya mtaani!! hahahahahahhaha.
Wanatumia sana wasanii wa vichekesho kwenye TV, my wife wake, my wife wangu and the like. Yote kwa yote ahsante kwa kunijali mkuu radika
You are my wife
 
CCM hatufugi majambazi, aliondoka lowasa na kingunge, na sumaye na tukashinda kwa kishindo sembuse huyu jambazi na mla jasho la wengine
Hivi zile Trillion 1.5 ni nani vile katuibia mkuu . naomba unipe jibu
 
Kikwetu kuna msemo unasema hivi .. natafisiri ... ukikijaza kiroba wakati unajua utakibeba mwenyewe unajipa tabu bure"

Wakati wanatoa magari yao kuwasomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeini hawakujua kuwa wale waliowahi kuwa humo waliuona ubaya wa humo ndo wakatoka.

Na sasa hii ni zamu ya wao kuonyeshwa!
Kwetu tunasema KOIGUSA EMFUREBE EKUNIGA
 
Utaratibu gani umetumika Ku deal naye?
Huyu mtu alikuwa analalamikiwa humu kuwa hagusiki na anaonea watu lakini kwavile ni serikali ya JPM inayodeal nae atapata watetezi. Tena watu macho makavu watatoa kila kejeli! Ila ungeona mikomenti yao enzi hizo sasa ....
Jaribu kutumia akili ya kawaida tu. Mtu kisa kawapiga risasi watu wanaojulikana ndo apewe kesi zaidi ya ilompeleka mahabusu?

Serikali ilikua wapi alivokua analalamikiwa?

Acheni kutufanya wajinga
 
Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.
Hii kesi ina mambo ya msingi sana. Inaelekea watu "wasiojulikana" walimla timing huyu jamaa kwa hayo "tunayo yasikia na tusio yajua" bahati mbaya game ikachafuka ikabidi wambebe na kumfungulia mashitaka ya kuumiza. Ii asichomoke na kuwaweka pabaya wahusika sasa amepata kesi ya uhujumu uchumi, ambayo naelelkea data zake wanazi siku nyingi. Je wangawahi kuondoka naye siku ile haya yangetokea?
 
Kuuliwa halafu ukatupwa kwenye kiroba au usi one Kane na kukaa rumande kipi afadhali, wasiojulikana imekula kwao.
 
Uharifu ni uharifu tu, hauna chama!
Uwe chadema, uwe ccm, uwe dini yo yote au kabila lo lote kama wewe ni mharifu lazima upate taabu sana.
Sio kweli umezungumzia kwa nchi ambazo zinajitambua na kuheshim haki za binadam. Senerio kma hyo kuna something under the carpet hasa maswala ya kisiasa
 
Na alivokua anajipendekeza kwa Mkuu....gari zake zote zina picha yake.
 
Back
Top Bottom