Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Hao ni wenyewe kwa wenyewe, acha waumizane. Mtu akidhani kuwa CCM ndio kuwa salama, anajidanganya. Huyo atasoteshwa jela hadi achakae. Wamempachika hayo mashtaka ili tu asikanyage uraiani. Atajuta kuijua CCM.
Na mkewe pia ana kesi ya kuhujumu mali za chama kikuu cha ushirika cha mkoa wa Mwanza (NYANZA) au NCU, alikuwa rumande sijuia kama yuko huru au bado
 
Mwanzo kapewa dhamana mwisho kanyimwa dhama sijaelewa jazia jazia nyama mkuu sijaelewa
 
Kikwetu kuna msemo unasema hivi .. natafisiri ... ukikijaza kiroba wakati unajua utakibeba mwenyewe unajipa tabu bure"

Wakati wanatoa magari yao kuwasomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeini hawakujua kuwa wale waliowahi kuwa humo waliuona ubaya wa humo ndo wakatoka.

Na sasa hii ni zamu ya wao kuonyeshwa!
 
pole sana... jela sio kuzuri hasa kwa mashitaka ya fananayo na wakina rugemalira na VIP...
 
Mkuu we umeanza kwa kusema apewa dhamana afu ukamalizia kwa anyimwa dhamana
Ndio yupo sahihi kwa kuwa makosa mengine yana dhamana isipo kuwa hilo la uhujumu uchumi... uwezi pata dhamana...
 
Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.
safi. mbwa washaanza kulana wao kwa wao!!
 
Nilisikia walimwachia baadae wakamkamata tena!!! Sasa naona hiyo familia inaelekea pa baya. BABA na MAMA wako rumande tena kwa tuhuma za uhujumu uchumi!!!!
Noma sana, naona wameanza kumtafuta mzee kwa njia nyingine ili wamtoe mama, zile mali si zimeandikwa jina la mama ndo maana wakamkamata!

Jamaa alivyokuwa akinunua anaandika jina la mke wake!
 
Noma sana, naona wameanza kumtafuta mzee kwa njia nyingine ili wamtoe mama, zile mali si zimeandikwa jina la mama ndo maana wakamkamata!

Jamaa alivyokuwa akinunua anaandika jina la mke wake!
heee! Kumbe zile basi zote zina jina la my wife wake?!!!!
 
Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.
Makamanda Leo hii mmekuwa watetezi wa Zacharia Kama kawaida yenu
 
Hao ni wenyewe kwa wenyewe, acha waumizane. Mtu akidhani kuwa CCM ndio kuwa salama, anajidanganya. Huyo atasoteshwa jela hadi achakae. Wamempachika hayo mashtaka ili tu asikanyage uraiani. Atajuta kuijua CCM.
CCM hatufugi majambazi, aliondoka lowasa na kingunge, na sumaye na tukashinda kwa kishindo sembuse huyu jambazi na mla jasho la wengine
 
Back
Top Bottom