Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,440
- 635
Hizi ni zama za kuitafsiri sheria na si vinginevyo.Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na kumiliki bunduki na risasi bila kibali,amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi tarehe 12 mwezi huu.
Pia soma
>Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi
>Kesi ya Zakaria: Polisi washindwa kumfikisha mahakamani. Wadai jalada halijakamilika. Ndugu wakesha mahakamani
>Musoma: Polisi waenda kukagua nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, Peter Zakaria
>Peter Zakaria asomewa mashtaka mawili ya kujaribu kuua, anyimwa dhamana
Wote waliozoea kuwa juu ya sheria...wajifunze