Gardner mwenyewe muhuni tuHuyo Gardner kakubalije mtoto wake aolewe na muhuni asee?
haya akaungane na hamissa sasa..watoto wawili baba tofauti na umeachwa.Alikuwa anakwenda na kurudi lakini hii ya ndoa ni kuwa ameamua
Yule dada waliachana,walirudiana baada ya Petit kuwekwa ndani wiki mbili kutokana na tuhuma za biashara ya unga,Ni safi tu.
Mtoto mbichi sio kama cougar aliyeachana naye ingawa kiuhalisia huyu binti ameingia cha kiume.
Amemchoka hakuna mwanaume anaweza kuvumila maujinga ya ESMA hayupoooo...na hatatokeaAlikuwa anakwenda na kurudi lakini hii ya ndoa ni kuwa ameamua
Hamisa anategesha mimba na anajisifu kuzaa kwa zinaahaya akaungane na hamissa sasa..watoto wawili baba tofauti na umeachwa.
kamsema sana binti wa watu leo nae yuko wapi
na uzee unamwita
Na kusutwa juuNi video kumbe walikuwa wanashoot lol.[emoji30][emoji30][emoji44] Hiz kiki hz zitawatokea puani siku moja
Hata ESMA kazaa kwa zinaa...watoto wote wawiliHamisa anategesha mimba na anajisifu kuzaa kwa zinaa
Acheni wazae Mungu kawajalia uzazi jamaniHamisa anategesha mimba na anajisifu kuzaa kwa zinaa
Lakini hajategesha mimba ili anunuluwe gorofaHata ESMA kazaa kwa zinaa...watoto wote wawili
Acha azae tu hakuna namna, kuna yule mwanamuziki watoto 12 mama tofauti na hajaoaHata ESMA kazaa kwa zinaa...watoto wote wawili
Shughuli pevu na kanunuliwa tayari ghorofa au limeyeyuka ?Lakini hajategesha mimba ili anunuluwe gorofa
Kiki ya wimbo mpya wa billnenga.."boss kaoa".New marriage in town.. ndoa imefungwa mabibo upande wa mama ake careen
HahahahaaaaNa kusutwa juu
Yaani ni kweli sio busara kabisa, siku yakimfika sijui ataongea niniKwanini uwaite wenzio bogus mkuu? Wanasema kama hauwezi kuongea jambo zuri kuhusu mwenzako, bora ukae kimya.
Unaweza ukawa sahihi lakini kumbuka huo ni mtazamo wako tu mkuu. Unaheshimika sana hapa jukwaani.
Uko vizur..!! Miss [emoji4]Sio Karen bana amemuoa dada mmoja alimpost juz anaitwa posh nani cjui huko.
Kuzaa ni kuzaa tu kwa zinaa haijalishi annuliwe ghorofa au RangeLakini hajategesha mimba ili anunuluwe gorofa