Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

Itatuma message kwa serikali ya Libya ili ichukue juhudi za ziada kupambana na vikundi vinavyoendesha vitendo vya utekaji
Libya hakuna serikali ndugu kuna kikundi cha mafisadi kinachouza mafuta ,Libya haina kiongozi bali wananchi ndio serikali yenyewe kila mtu ni serikali anajiamulia mwenyewe , yani kila eneo kuna waasi wanamiliki sasa kuna serikali hapo

Nusu na robo ya nchi inamilikiwa na vikundi vya makabila kila kàbila liñáshikilia eneo lake ,so sahau hatua kuchukulia ile serikali ni botion kwaajili ya kupiga mafuta
 
Na kulivyokuwa jangwa ase njaa haijawahi kumuacha mtu salama
 

WENGINE WANASEMA TUWAITE NCHI NYINGINE,MIMI NASEMA LIBYA ITAPENDEZA ZAIDI,AMA KWA HAKIKA BUSARA ZA AZAM TV NA CECAFA NI ZA HALI YA JUU
 

Hayatuhusu...susia mwenyewe mkuu,, kama ulinyimwa kazi kaa kimya na si kuharibu biashara ya mwenzio!!! Na sio kama umechoka kuishi jipige kitanzi kuna kamba nyingi tu zinauzwa madukani bei 1000.
 
Hayatuhusu...susia mwenyewe mkuu,, kama ulinyimwa kazi kaa kimya na si kuharibu biashara ya mwenzio!!! Na sio kama umechoka kuishi jipige kitanzi kuna kamba nyingi tu zinauzwa madukani bei 1000.
we maku kweli,walikupa kazi nini?naona unashoboka kama mkojo wa asubuhi
 
kwani huko libya walikamatwa kwa lazima kutoka nchi zao na kwenda pigwa mnada?
 
Okay, sasa kama hakuna serikali ya kitaifa basi hakuna timu ya taifa pia, hivyo hakuna timu inayoitwa Libya. Susia Azam, Susia cecafa hadi Libya iondolewe kwenye Challenge cup, maana hakuna timu hiyo..
 
kwani huko libya walikamatwa kwa lazima kutoka nchi zao na kwenda pigwa mnada?
MTAELEWA TARATIBU TU,NI NGUMU KUWAELEWESHA ,ila mtaelewa just bear with me please,najua tumetofautiana IQ hapa ndani
 
majibu meni yamenifungua akili kwa nini TZ ni mojawapo ya nchi inayoongoza kwa kujichubua na kuutaka weupe
 
ila hao ndugu zetu wanaona wenzao wanavyofanyiwa lakini ndo kila siku wanakimbilia huko tuu
Shida ya binadamu mwenzako haikupi wewe haki ya kutumia hiyo kama fursa ya kumteka, kumtesa na kumuuza kama mbuzi. Azam wanalengo gani kuwaalika hao waarabu tunaoambiwa kwamba hata serikali hawana? Na kama ipo basi haichukui hatua kudhibiti biashara hiyo ya utumwa! Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup hadi Libya iondolewe!
 
hilo la maiti lianzishie thread yake,naongelea kampuni yenye reputation clean kama AZAM kuafanya upuuzi huo...anzisha uzi wa kutetea haki za bongo na utoe solution yako tutakusapoti,mimi nimetoa solution ya AZAM TV kuwapa pressure cecafa wawaondoe libya maana hata serikali yao ipo under pressure,haya siyo matatizo ya kuyachekea ,huko oman kila siku watanzania wanauawa,tukipiga kelele tunakutana na comments za watu kama nyie
unadhani hata hao wa kuokotwa kwenye viroba ilianzaje? si kwa kupuuza?udikteta na mateso makuu yanaanzaje? si kwa kuona kama lile ni tatizo la wengien sio langu?
 
mimi sina cha kususia maana mpira wa bongo sijawahi fikiria nitaenda kuangalia au hata kuangalia kwenye Tv.. hata wanaifunge mikono wanipeleke uwanjani nitatoka tu...[emoji23] [emoji23] ..

hilo jukumu tunawaachia nyie wanazi wa team za mchangani
 
mimi sina cha kususia maana mpira wa bongo sijawahi fikiria nitaenda kuangalia au hata kuangalia kwenye Tv.. hata wanaifunge mikono wanipeleke uwanjani nitatoka tu...[emoji23] [emoji23] ..

hilo jukumu tunawaachia nyie wanazi wa team za mchangani
sawa ni maamuzi yako kiongozi,naona umesindikiza na emoji ya kicheko hadi machozi,kwa hakika imependezesha comment yako zaidi
 
Sasa utaangalia nini , au utakua unakesha na ile 'kampeni' yetu ya miaka miwili tangu niwe madarakani.
 
we maku kweli,walikupa kazi nini?naona unashoboka kama mkojo wa asubuhi

Matusi hayasaidii kitu mzee....nilitegemea utakuja na hoja nzuri..lakini umeonyesha huna zaidi ya matusi. Mimi sina ubaya na wewe...nitaendelea kumuunga Azam ktk biashara zake. Pia Naunga Mkono mwaliko wa libya team ktk michezo ya cecafa cup inayoanza kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…