FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tususie Azam tu, hakuna namna, unless Libya iondolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Libya hakuna serikali ndugu kuna kikundi cha mafisadi kinachouza mafuta ,Libya haina kiongozi bali wananchi ndio serikali yenyewe kila mtu ni serikali anajiamulia mwenyewe , yani kila eneo kuna waasi wanamiliki sasa kuna serikali hapoItatuma message kwa serikali ya Libya ili ichukue juhudi za ziada kupambana na vikundi vinavyoendesha vitendo vya utekaji
Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,
Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,
Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
we maku kweli,walikupa kazi nini?naona unashoboka kama mkojo wa asubuhiHayatuhusu...susia mwenyewe mkuu,, kama ulinyimwa kazi kaa kimya na si kuharibu biashara ya mwenzio!!! Na sio kama umechoka kuishi jipige kitanzi kuna kamba nyingi tu zinauzwa madukani bei 1000.
Okay, sasa kama hakuna serikali ya kitaifa basi hakuna timu ya taifa pia, hivyo hakuna timu inayoitwa Libya. Susia Azam, Susia cecafa hadi Libya iondolewe kwenye Challenge cup, maana hakuna timu hiyo..Libya hakuna serikali ndugu kuna kikundi cha mafisadi kinachouza mafuta ,Libya haina kiongozi bali wananchi ndio serikali yenyewe kila mtu ni serikali anajiamulia mwenyewe , yani kila eneo kuna waasi wanamiliki sasa kuna serikali hapo
Nusu na robo ya nchi inamilikiwa na vikundi vya makabila kila kàbila liñáshikilia eneo lake ,so sahau hatua kuchukulia ile serikali ni botion kwaajili ya kupiga mafuta
MTAELEWA TARATIBU TU,NI NGUMU KUWAELEWESHA ,ila mtaelewa just bear with me please,najua tumetofautiana IQ hapa ndanikwani huko libya walikamatwa kwa lazima kutoka nchi zao na kwenda pigwa mnada?
ila hao ndugu zetu wanaona wenzao wanavyofanyiwa lakini ndo kila siku wanakimbilia huko tuukwani huko libya walikamatwa kwa lazima kutoka nchi zao na kwenda pigwa mnada?
Shida ya binadamu mwenzako haikupi wewe haki ya kutumia hiyo kama fursa ya kumteka, kumtesa na kumuuza kama mbuzi. Azam wanalengo gani kuwaalika hao waarabu tunaoambiwa kwamba hata serikali hawana? Na kama ipo basi haichukui hatua kudhibiti biashara hiyo ya utumwa! Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup hadi Libya iondolewe!ila hao ndugu zetu wanaona wenzao wanavyofanyiwa lakini ndo kila siku wanakimbilia huko tuu
hilo la maiti lianzishie thread yake,naongelea kampuni yenye reputation clean kama AZAM kuafanya upuuzi huo...anzisha uzi wa kutetea haki za bongo na utoe solution yako tutakusapoti,mimi nimetoa solution ya AZAM TV kuwapa pressure cecafa wawaondoe libya maana hata serikali yao ipo under pressure,haya siyo matatizo ya kuyachekea ,huko oman kila siku watanzania wanauawa,tukipiga kelele tunakutana na comments za watu kama nyieWatu wamevalia mambo utasema wa uchungu wa kweli. Nchi zetu zinatushinda wanapigwa watu maiti zinaokotwa hovyo watu vyatuuu utasema hawasikii au kuona. Wale wanataka kwenda europe kinachotokea sio kitu kizuri. Swali kwanini wanakimbia nchi zao njia ya panya? Huko ndio tatizo tu andamane kuboresha serikali zetu mbovu umaskini wa kutupwa. Tusijafanye machampion leo wa haki za binadamu wakati sisi wenyewe hatuheshimiani.
mimi sina cha kususia maana mpira wa bongo sijawahi fikiria nitaenda kuangalia au hata kuangalia kwenye Tv.. hata wanaifunge mikono wanipeleke uwanjani nitatoka tu...[emoji23] [emoji23] ..Shida ya binadamu mwenzako haikupi wewe haki ya kutumia hiyo kama fursa ya kumteka, kumtesa na kumuuza kama mbuzi. Azam wanalengo gani kuwaalika hao waarabu tunaoambiwa kwamba hata serikali hawana? Na kama ipo basi haichukui hatua kudhibiti biashara hiyo ya utumwa! Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup hadi Libya iondolewe!
sawa ni maamuzi yako kiongozi,naona umesindikiza na emoji ya kicheko hadi machozi,kwa hakika imependezesha comment yako zaidimimi sina cha kususia maana mpira wa bongo sijawahi fikiria nitaenda kuangalia au hata kuangalia kwenye Tv.. hata wanaifunge mikono wanipeleke uwanjani nitatoka tu...[emoji23] [emoji23] ..
hilo jukumu tunawaachia nyie wanazi wa team za mchangani
Akili yako afadhali ata na nguruwe ana reasoning capacity kuliko wewe.Kususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
we maku kweli,walikupa kazi nini?naona unashoboka kama mkojo wa asubuhi