Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

hata mimi mwenyewe hapa natamani kukutukana ila tu basi najizuia.

kiukweli mada yako umeileta kwa chuki binafsi na kwa kukurupuka bila hata kutafakari mara mbili kabla ya kuponyeza kitufe cha upload.

wanaokutukana wana kila sababu ya kufanya hivyo.

Hapo kwenye red duh 😛😛😛😛😛 atakuwa amekuelewa mkuu kadoda11
 
Hapo kwenye red duh 😛😛😛😛😛 atakuwa amekuelewa mkuu kadoda11
nimemruhusu atukane au aje inbox tutukanane kama yeye anaona ndo solution nipo tayari muda wowote,nina kapu la matusi
 
kabisaaaa,hata fox news ilipotokea scandal ya sexual harrasment ya MR Moore,sponsors wali pull out lakini sio wao waliofanya sexual harrasment alikuwa ni employee wa Fox news
Moral of the story is:Kampuni kubwa kama Azam iliyotanuka kwa kasi na inayoonyesha mpira kwa level za kimataifa ichukulie hali hii ya kualikwa Libya kwa uzito, It is an insult kwa ngozi nyeusi
wawaforce Cecafa waachane na libya zibaki hata teams 8 maana zipo 9 baada ya zimbabwe kujitoa
It BEGINS WITH YOU

Je Unajuwa zimbabwe imejitoa kwa sababu ipi?? Naona mkuu unaongea sana na unataka kulazimisha members wakufuate unachotaka wewe. Never!

Naomba jibu hapo juu!!!
 
Je Unajuwa zimbabwe imejitoa kwa sababu ipi?? Naona mkuu unaongea sana na unataka kulazimisha members wakufuate unachotaka wewe. Never!

Naomba jibu hapo juu!!!
sababu ya usalama,ni wapi nimelazimisha watu wanifate maoni yangu.kwani lazima libya???what the heck.
 
sababu ya usalama,ni wapi nimelazimisha watu wanifate maoni yangu.kwani lazima libya???what the heck.

haina shida we tukana tu hata inbox,tutatukanana hukohuko,BOYCOT AZAM TV<BOYCOT CECAFA

Mkuu umeonyesha wazi kabisa unachuki mno mno na waarabu/uislamu. Nakushauri kaa kimya na uendelee na shuguli zako za kila siku,,,maana umetukana sana na wengine wameamua kukupuuza.
 
Mkuu umeonyesha wazi kabisa unachuki mno mno na waarabu/uislamu. Nakushauri kaa kimya na uendelee na shuguli zako za kila siku,,,maana umetukana sana na wengine wameamua kukupuuza.
kwa hiyo kumbe nina chuki na waarbu wa azam kwa sababu ni waislamu...ooh okay kwa hiyo labda ndo waliwaambia cecafa wawaalike slave masters wa kiarabu toka tripoli kuja kuangalia bidhaa za east africa au?naskia wanachukua hadi slaves wa kiislamu as long as ni weusi na wana pua pana au wanachukua wakristo tu?
 
Huwezi kuelewa ila nchi nyingine wako serious na hizi mambo nani anakumbuka jezi za Barca kuna mahali zilikuwa hazitakiwi kwa sababu ya uharifu wa nchi ya Qatar, wakati zile zina nembo tu ya Qatar airways.
 
kaka,ni mambo ya inferiority complex,wacha tu kina ray kigosi wajichubue kwa mentality kama za maboya fulani yamejaa hapa yanaandika ujinga,nakuhakikishia azam na cecafa wakiwashiwa moto siku mbili tu kwenye social media watawaomba libya wasije east africa,hiyo itakuwa ni message sent,UTU NI MUHIMU SANA
 
Sitaki kuongelea suala la uarabu au la maana mharifu hana dini
hakuna aliyeongelea wakishindwa kutetea hoja zao dhaifu wanaingia huko, ngoja ni summarise points zao: UNA CHUKI SABABU UMENYIMWA KAZI AZAM,UNA CHUKI NA WAISLAMU WA AZAM,KWANI AZAM NDO KAWALETA HIYO TEAM,KWANI WACHEZAJI WA LIBYA WANAHUSIKA NINI?KWANI HAO WAAFRIKA WALIENDA KUFANYA NINI HUKO LIBYA SI WALIJIPELEKA?MBONA HAPA KWETU WATU WANAOKOTWA KWENYE VIROBA HAMUONGEI?
HIZO ndo main points zao,ma great thinkers eti.
 
Kuna zaidi ya hayo,haya mambo ya udhamini binafsi naamini ni ya kimkataba, vyovyote iwavyo azam wana mkataba na Cecafa kudhamini mashindano, yale sasa kama vipengele navyo vimekaa kiboya hakuna namna ya kujitoa kwa Azam, vinginevyo haijalishi hao waafrika wanajipeleka Libya au la ni lazima tufike mahali tupaze sauti, wao mbona wako huku tunawaheshimu? Mambo hayahaya yako India ambako wanafunzi waafrika wanaosoma huko hubakwa hadharani, kupigwa, kuuawa na wao huku tunawanyenyekea
 
wanao uwezo wa kuwaambia cecafa walete team nyingine au libya wasije zibaki teams 8 kwa reason ya kulinda brand yao.
Lakini kwa nini Libya,why libya??/???????kwa nini wamealika libya????dah
 
Hii ngozi nyeusi tunadharaulika Sana, hadi hawa waafrika wenzetu wanaotoka mataifa ya waarabu alafu tunawalamba miguu agree!!!!??
 
Hii ngozi nyeusi tunadharaulika Sana, hadi hawa waafrika wenzetu wanaotoka mataifa ya waarabu alafu tunawalamba miguu agree!!!!??
yaani kuna comments hapa zinasema si walienda huko wenyewe,walienda kufanya nini?
 
Back
Top Bottom