Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika vinchi vidogo vidogo kwa nia ya kulitawala na hatimaye kuiibia rasilimali zake.
Kuwmekuwa na nia ya kuwa na Africa iliyoungana kwa maana ya kuwa na kiongozi mmoja wa Africa Kwa miongo kadhaa,sarafu moja na aina moja ya uchumi(economic system). Wazo hili halikuwahi kukubalika na viongozi wote wa Africa,kwa sababu mbili za msingi:ubinafsi na kukosekana kwa mtu ambaye kweli angeweza kuibeba Africa yote kwa ujumla wake na kuiletea maendeleo bila kuwa na ubinafsi na upendelea.
Kwa sasa matatizo ya ubinafsi na upendeleo yanaonekana kupatiwa ufumbuzi,kwa hiyo ni swala la Waafrika kujitambua na kuchukua maamuzi ya pamoja, ili hatimaye Africa ichukue nafasi yake katika Dunia kama bara lililopiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote.
Yupo kijana mmoja ambaye kwa sasa ni Rais wa Burkina Faso.Kijana huyu ameonyesha ubunifu mkubwa wa kuiongoza Burkina Faso na kuiletea nchi yake maendeleo kwa muda mfupi, ambayo hayajawahi kuonekana katika historia ya Dunia. Kijana huyu pia amekuwa na ubunifu mkubwa wa kulipa deni la Burkina Faso,kiasi kwamba nchi hiyo sasa haina deni la taifa kabisa. Ibrahim Traore pia amefanya jambo lingine la ajabu ,ambalo viongozi wa Africa wameshindwa kujifanya miaka yote: kusitisha kabisa uhusiano na nchi za Ulaya, huku ambao kimsingi sio WA lazima na una nia ovu,huku ikiendelea kupiga hatua kimaendeleo katika kiwango cha kushangaza.Kinachoendea Burkina Faso ya Ibrahim Traore kwa kweli ni gumzo la Dunia.
Kwa kuliona hili, ipo petion ambayo imekuwa proposed kwamba Ibrahim Traore atawazwe kama Rais wa Africa.Fuata link ifuatayo uone hiyo petition,na kama kweli wewe ni mtoto wa Africa,sign it.
Please go through the comments section and see the comments of other people.As for me,I support Ibrahim Traore for a United African President 100%.
View: https://www.youtube.com/live/vgkPapG6nVY?si=tAK_jWl6CDZKSPNA