Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

Maendeleo gani hayo
Wewe unaishi Dunia ya wapi mkuu usiyejua Traore anayofanya.No African leader has ever done what Traore is doing in Burkina Faso.Kukataa kwamba Traore hajafanya kitu ni sawa na kuficha uchi wako.It is funny that some are even pretending that Traore dose not exsist.Why? Because the mere acceptance that he exists is to admit that they have failed miserably.
 
hivi akili mnawekaga wapi? Hayo mambo ya New world order ni upuuzi ulioanza muda mrefu na ulifeli tangu enzi za vita za wazungu walizoziita world war 1&2 ambapo waliunda kila mbinu za kuufanya ulimwengu uwe kitu kimoja huku wakiusimika uongozi wa taifa moja kubwa kutawala mataifa mengine, hilo lilifeli.

Kama walifeli katika kipindi cha giza la ukoloni na ujima ndio waweze hivi leo?

Mambo ya kutawala ulimwengu kupitia Order ya kikundi kimoja chenye sheria zake na plan zake hilo haliwezekani kwa sasa, labda miaka 300 ijayo.

Kwanini haiwezekani?, kwasababu hayo mambo ya new world order yameletwa na watu magharibi wakiwepo hao fake jews, na baadhi ya Muslims, ambapo kwasasa hawa kwa upande waliopo unaofungamana na USA wanapata pingamizi kubwa kutimiza sheria&plan zao kutoka mataifa mengi yenye nguvu kama vile Russia,China, Iran, North Korea, Cuba, India, na baadhi kutoka Afrika,

Suala la kuutawala ulimwengu kwa Sheria moja na kanuni moja si jepesi kama mnavyodanganywa humo makanisani na misikitin, kuutawala ulimwengu na kila mtu inahijika nguvu kubwa ya kitechnolojia, ushawishi, ambapo kwa sasa hiyo nguvu haipo na haijawai kuwepo acheni kudanganywa.

Ili uutawale ulimwengu ni lazima mataifa yote makuu kama Russia, china, India, USA, UK, Canada, German, France, Italy, Japan, UAE, Saud Arabia, Qatar, Iran, South+North Korea, wakubali kuweka tofauti zao na wakubaliane kufanya jambo moja, jambo ambalo kwasasa haliwezekani wala dalili za kuwezekana kwake hakupo.

Ili uutawale ulimwengu vile vile ni lazma uwe na control ya Afrika nzima, ambako kuna population ya watu wengi ambao hawapo hata katika database ya control ya kimaeneo, tamaduni, sheria, hiyo technology ya kuamlisha kila mtu afuate mambo fulani hamna kwa sasa.
Very ignorant.I can't argue with you.Every Western leader and other leaders admit that is a must,and soon,who are you to say it is not possible for now.
 
Apewe muda jamani.... hata Bongo tulianza na What Would Jiwe tu, tukaishia kwenye When Will Jiwe GO
Sidhani kama JPM alikuwa mbaya as President,tatizo ni kwamba watu ni waovu mno,hawataki mtu straight,kwa kuwa uovu wao utakuwa exposed.Jina tu la Ibrahim Traore lina-scare watu because he is so straight.
 
Wewe unaishi Dunia ya wapi mkuu usiyejua Traore anayofanya.No African leader has ever done what Traore is doing in Burkina Faso.Kukataa kwamba Traore hajafanya kitu ni sawa na kuficha uchi wako.It is funny that some are even pretending that Traore dose not exsist.Why? Because the mere acceptance that he exists is to admit that they have failed miserably.
Sijakataa ila nimeuliza ni maendeleo gani halafu raia pekee wa Burkina Faso ninayemfahamu ni Aziz Ki tu.
 
Sidhani kama JPM alikuwa mbaya as President,tatizo ni kwamba watu ni waovu mno,hawataki mtu straight,kwa kuwa uovu wao utakuwa exposed.Jina tu la Ibrahim Traore lina-scare watu because he is so straight.
Kwanini mnaamini kila aliyekuwa na shida na style ya uongozi ya JPM alikuwa mtu muovu? Huu ni mtazamo wa kidikteta, kwamba either umkubali JPM au wewe ni mtu mbaya.
 
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika vinchi vidogo vidogo kwa nia ya kulitawala.

Kuwekuwa na nia ya kuwa na Africa iliyoungana kwa maana ya kuwa na kiongozi mmoja wa Africa,sarafu moja na aina moja ya uchumi(economic system). Wazo hili halikuwahi kukubalika na viongozi wote wa Africa,kwa sababu mbili za msingi,ubinafsi na kukosekana kwa mtu ambaye kweli angeweza kuibeba Africa yote kwa ujumla wake na kuiletea maendeleo bila kuwa na ubinafsi na upendelea.

Kwa sasa matatizo ya ubinafsi na upendeleo yanaonekana kupatiwa ufumbuzi,kwa hiyo ni swala la Waafrika kujitambua na kuchukua maamuzi ya pamoja, ili hatimaye Africa ichukue nafasi yake katika Dunia kama bara lililopiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote.

Yupo kijana mmoja ambaye kwa sasa ni Rais wa Burkina Faso.Kijana huyu ameonyesha ubunifu mkubwa wa kuiongoza Burkina Faso na kuiletea nchi yake maendeleo kwa muda mfupi, ambayo hayajawahi kuonekana katika historia ya Dunia.Kijana huyu pia amekuwa na ubunifu mkubwa wa kulipa deni la Burkina Faso,kiasi kwamba nchi hiyo sasa haina deni la taifa kabisa.Ibrahim Traore pia amefanya jambo la ajabu ambalo viongozi wa Africa wameshindwamiaka yote,kusitisha kabisa uhusiano na nchi za Ulaya, huku ikiendelea kupiga hatua kimaendeleo katika kiwango cha kushangaza.Kinachoendea Burkina Faso ya Ibrahim Traore kwa kweli ni gumzo la Dunia.

Kwa kuliona hili, ipo petion ambayo imekuwa proposed kwamba Ibrahim Traore atawazwe kama Rais wa Africa.Fuata link ifuatayo uone hiyo petition,na kama kweli wewe ni mtoto wa Africa,sign it.

Please go through the comments section and see the comments of other people.As for me,I support Ibrahim Traore for a United African President.

View: https://www.youtube.com/live/vgkPapG6nVY?si=tAK_jWl6CDZKSPNA

Naunga mkono hoja, lakini kwanza tupate Jamhuri ya Muungano wa Atrika (United Republic of Africa - URA), ndipo tuanze kutafuta rais wa URA kidemokrasia. Tutimize ndoto za akina Kwameh Nkrumah
 
Yaani Afrika tuungane halafu tutawaliwe na Junta?! Hivi tumelogwa?!🤔
 
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika vinchi vidogo vidogo kwa nia ya kulitawala.

Kuwekuwa na nia ya kuwa na Africa iliyoungana kwa maana ya kuwa na kiongozi mmoja wa Africa,sarafu moja na aina moja ya uchumi(economic system). Wazo hili halikuwahi kukubalika na viongozi wote wa Africa,kwa sababu mbili za msingi,ubinafsi na kukosekana kwa mtu ambaye kweli angeweza kuibeba Africa yote kwa ujumla wake na kuiletea maendeleo bila kuwa na ubinafsi na upendelea.

Kwa sasa matatizo ya ubinafsi na upendeleo yanaonekana kupatiwa ufumbuzi,kwa hiyo ni swala la Waafrika kujitambua na kuchukua maamuzi ya pamoja, ili hatimaye Africa ichukue nafasi yake katika Dunia kama bara lililopiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote.

Yupo kijana mmoja ambaye kwa sasa ni Rais wa Burkina Faso.Kijana huyu ameonyesha ubunifu mkubwa wa kuiongoza Burkina Faso na kuiletea nchi yake maendeleo kwa muda mfupi, ambayo hayajawahi kuonekana katika historia ya Dunia.Kijana huyu pia amekuwa na ubunifu mkubwa wa kulipa deni la Burkina Faso,kiasi kwamba nchi hiyo sasa haina deni la taifa kabisa.Ibrahim Traore pia amefanya jambo la ajabu ambalo viongozi wa Africa wameshindwamiaka yote,kusitisha kabisa uhusiano na nchi za Ulaya, huku ikiendelea kupiga hatua kimaendeleo katika kiwango cha kushangaza.Kinachoendea Burkina Faso ya Ibrahim Traore kwa kweli ni gumzo la Dunia.

Kwa kuliona hili, ipo petion ambayo imekuwa proposed kwamba Ibrahim Traore atawazwe kama Rais wa Africa.Fuata link ifuatayo uone hiyo petition,na kama kweli wewe ni mtoto wa Africa,sign it.

Please go through the comments section and see the comments of other people.As for me,I support Ibrahim Traore for a United African President.

View: https://www.youtube.com/live/vgkPapG6nVY?si=tAK_jWl6CDZKSPNA

Hiyo petition wanafanya akina nani? Na inatambulika wapi?
Kama ni hizo za social media hamna kitu imkitafanyika

Kwanza africa is too divided, hakutokuwa na rais wa africa if kila nchi ina mipango yake very different.
Kuungana tu kupata west africa au east africa imekuwa tatizo sembuse africa nzima?

Pls acha kuota ndoto za mchana, halitowezekana leo au kesho. Plus huyo ni interim si elected mwenyewe amekiri mara kibao
 
Very ignorant.I can't argue with you.Every Western leader and other leaders admit that is a must,and soon,who are you to say it is not possible for now.
Where western leaders admited is a must? Where have they held such meeting with official recognition?
 
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika vinchi vidogo vidogo kwa nia ya kulitawala.

Kuwekuwa na nia ya kuwa na Africa iliyoungana kwa maana ya kuwa na kiongozi mmoja wa Africa,sarafu moja na aina moja ya uchumi(economic system). Wazo hili halikuwahi kukubalika na viongozi wote wa Africa,kwa sababu mbili za msingi,ubinafsi na kukosekana kwa mtu ambaye kweli angeweza kuibeba Africa yote kwa ujumla wake na kuiletea maendeleo bila kuwa na ubinafsi na upendelea.

Kwa sasa matatizo ya ubinafsi na upendeleo yanaonekana kupatiwa ufumbuzi,kwa hiyo ni swala la Waafrika kujitambua na kuchukua maamuzi ya pamoja, ili hatimaye Africa ichukue nafasi yake katika Dunia kama bara lililopiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote.

Yupo kijana mmoja ambaye kwa sasa ni Rais wa Burkina Faso.Kijana huyu ameonyesha ubunifu mkubwa wa kuiongoza Burkina Faso na kuiletea nchi yake maendeleo kwa muda mfupi, ambayo hayajawahi kuonekana katika historia ya Dunia.Kijana huyu pia amekuwa na ubunifu mkubwa wa kulipa deni la Burkina Faso,kiasi kwamba nchi hiyo sasa haina deni la taifa kabisa.Ibrahim Traore pia amefanya jambo la ajabu ambalo viongozi wa Africa wameshindwamiaka yote,kusitisha kabisa uhusiano na nchi za Ulaya, huku ikiendelea kupiga hatua kimaendeleo katika kiwango cha kushangaza.Kinachoendea Burkina Faso ya Ibrahim Traore kwa kweli ni gumzo la Dunia.

Kwa kuliona hili, ipo petion ambayo imekuwa proposed kwamba Ibrahim Traore atawazwe kama Rais wa Africa.Fuata link ifuatayo uone hiyo petition,na kama kweli wewe ni mtoto wa Africa,sign it.

Please go through the comments section and see the comments of other people.As for me,I support Ibrahim Traore for a United African President.

View: https://www.youtube.com/live/vgkPapG6nVY?si=tAK_jWl6CDZKSPNA

AFRICA UNITE BY BOB MARLEY

View: https://youtu.be/4fBKrM0qzRA?si=tJ3d5MeG8Crf3jhZ
 
Hiyo petition wanafanya akina nani? Na inatambulika wapi?
Kama ni hizo za social media hamna kitu imkitafanyika

Kwanza africa is too divided, hakutokuwa na rais wa africa if kila nchi ina mipango yake very different.
Kuungana tu kupata west africa au east africa imekuwa tatizo sembuse africa nzima?

Pls acha kuota ndoto za mchana, halitowezekana leo au kesho. Plus huyo ni interim si elected mwenyewe amekiri mara kibao
East Africa Community.......ilitushinda
 
Eti wazungu wameigawanya Afrika kwenye vinchi vidogo vidogo ili waweze kuitawala! Sasa kwa nini Afrika tumeshindwa kuwatawala wazungu kwa sababu vinchi vyao ndiyo vidogo zaidi, Wewe sema tu Waafrika ni majitu yasiyojielewa yaani yapo kama manyumbu tu.
Yenyewe yanachojali ni kuiba,ukatili dhidi ya binadamu wenzao,kupenda ngono,ulevi ukiwemo ulevi wa madaraka yaani kwa ujumla ni majitu ya ovyo,unaweza kuta hata huyo unayemsifia ni miongoni mwa wale wajinga wasiotaka kukosolewa akijiona yeye ni mjuwaji wa kila kitu kama ilivyowahi kutokea kwa mwendawazimu mmoja aliyewahi kutawala kipande fulani cha ardhi huko Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Ni jambo jema,lkn mhimu naona ni kuuimarisha AU kwa dhati kwanza,ijitegemee kabisa kwa michango ya wanachama,iwekeze kwa tija na nia yakuleta maendeleo kwa Africa,then ndo tuanze kufikiria kuwa nchi moja,na hilo litokee labda kwa vitukuu vyetu nyakati hizo zijazo,.
Kingine yafaa tujihadhari,wazo kama hili alikuwa nalo hata Gaddafi,mnajua kilichofuata?!,tusiogope hilo lkn tahadhari ni mhimu pia,ili tupige hatua.
 
Back
Top Bottom