Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

Maendeleo gani hayo
Wewe unaishi Dunia ya wapi mkuu usiyejua Traore anayofanya.No African leader has ever done what Traore is doing in Burkina Faso.Kukataa kwamba Traore hajafanya kitu ni sawa na kuficha uchi wako.It is funny that some are even pretending that Traore dose not exsist.Why? Because the mere acceptance that he exists is to admit that they have failed miserably.
 
Very ignorant.I can't argue with you.Every Western leader and other leaders admit that is a must,and soon,who are you to say it is not possible for now.
 
Apewe muda jamani.... hata Bongo tulianza na What Would Jiwe tu, tukaishia kwenye When Will Jiwe GO
 
Apewe muda jamani.... hata Bongo tulianza na What Would Jiwe tu, tukaishia kwenye When Will Jiwe GO
Sidhani kama JPM alikuwa mbaya as President,tatizo ni kwamba watu ni waovu mno,hawataki mtu straight,kwa kuwa uovu wao utakuwa exposed.Jina tu la Ibrahim Traore lina-scare watu because he is so straight.
 
Sijakataa ila nimeuliza ni maendeleo gani halafu raia pekee wa Burkina Faso ninayemfahamu ni Aziz Ki tu.
 
Sidhani kama JPM alikuwa mbaya as President,tatizo ni kwamba watu ni waovu mno,hawataki mtu straight,kwa kuwa uovu wao utakuwa exposed.Jina tu la Ibrahim Traore lina-scare watu because he is so straight.
Kwanini mnaamini kila aliyekuwa na shida na style ya uongozi ya JPM alikuwa mtu muovu? Huu ni mtazamo wa kidikteta, kwamba either umkubali JPM au wewe ni mtu mbaya.
 
Naunga mkono hoja, lakini kwanza tupate Jamhuri ya Muungano wa Atrika (United Republic of Africa - URA), ndipo tuanze kutafuta rais wa URA kidemokrasia. Tutimize ndoto za akina Kwameh Nkrumah
 
Yaani Afrika tuungane halafu tutawaliwe na Junta?! Hivi tumelogwa?!🤔
 
Hiyo petition wanafanya akina nani? Na inatambulika wapi?
Kama ni hizo za social media hamna kitu imkitafanyika

Kwanza africa is too divided, hakutokuwa na rais wa africa if kila nchi ina mipango yake very different.
Kuungana tu kupata west africa au east africa imekuwa tatizo sembuse africa nzima?

Pls acha kuota ndoto za mchana, halitowezekana leo au kesho. Plus huyo ni interim si elected mwenyewe amekiri mara kibao
 
Very ignorant.I can't argue with you.Every Western leader and other leaders admit that is a must,and soon,who are you to say it is not possible for now.
Where western leaders admited is a must? Where have they held such meeting with official recognition?
 

AFRICA UNITE BY BOB MARLEY

View: https://youtu.be/4fBKrM0qzRA?si=tJ3d5MeG8Crf3jhZ
 
East Africa Community.......ilitushinda
 
Eti wazungu wameigawanya Afrika kwenye vinchi vidogo vidogo ili waweze kuitawala! Sasa kwa nini Afrika tumeshindwa kuwatawala wazungu kwa sababu vinchi vyao ndiyo vidogo zaidi, Wewe sema tu Waafrika ni majitu yasiyojielewa yaani yapo kama manyumbu tu.
Yenyewe yanachojali ni kuiba,ukatili dhidi ya binadamu wenzao,kupenda ngono,ulevi ukiwemo ulevi wa madaraka yaani kwa ujumla ni majitu ya ovyo,unaweza kuta hata huyo unayemsifia ni miongoni mwa wale wajinga wasiotaka kukosolewa akijiona yeye ni mjuwaji wa kila kitu kama ilivyowahi kutokea kwa mwendawazimu mmoja aliyewahi kutawala kipande fulani cha ardhi huko Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Ni jambo jema,lkn mhimu naona ni kuuimarisha AU kwa dhati kwanza,ijitegemee kabisa kwa michango ya wanachama,iwekeze kwa tija na nia yakuleta maendeleo kwa Africa,then ndo tuanze kufikiria kuwa nchi moja,na hilo litokee labda kwa vitukuu vyetu nyakati hizo zijazo,.
Kingine yafaa tujihadhari,wazo kama hili alikuwa nalo hata Gaddafi,mnajua kilichofuata?!,tusiogope hilo lkn tahadhari ni mhimu pia,ili tupige hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…