Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.
Soma Pia: Habari mpya kuhusu Afya ya papa Francs
Nikatika muktadha huo tuapozidi kumuombea nafuu na uponyaji baba yetu huyu wa kiroho ndipo fununu na tetesi na dhana zinapo bainisha iwapo kiti cha uchungaji cha ki papa kitakuwa wazi kadnali Petro parolini ambaye kwa sasa ni karibu mkuu wa vatikani ana dhaniwa kurithi kiti hicho.
pamoja na kuwa kiungo mkubwa kati ya vatikani na mataifa pamoja na kanisa ulimwengu, ni mwitalino kwa asili na inakumbukwa kuwa kwa miaka ya hivi karibuni upapa umetoka nje ya Italy hivyo jitihada za kurudisha Italy kwenye mamlaka ya upapa ni mkubwa sana, na safari hii hakuna namna inaweza kushindikana .
hii yote ni kwa mtazamo wangu, ila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu na Bwana Yesu na Roho Mtakatifu.