Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BagaglioNadhani ni Jorge Mario
UtatuudhiKwanini mnamuita mwanadamu mwenzenu mtakatifu?
Nahitaji jibu! Tatizo siwajui wakatoliki waliopo jf ningewatagUtatuudhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili kuboresha ufanisi wa kanisa.Hiki cheo wampe kadrinali pengo shabiki lialia wa CCM.
Kila jamii Ina utakatifu wake kwa namna walivyojiwekea.Huwa mnatumia vigezo gani kumuita Papa "Baba Mtakatifu"?
Sawa ngoja tusubiri.Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.
Soma Pia: Habari mpya kuhusu Afya ya papa Francs
Nikatika muktadha huo tuapozidi kumuombea nafuu na uponyaji baba yetu huyu wa kiroho ndipo fununu na tetesi na dhana zinapo bainisha iwapo kiti cha uchungaji cha ki papa kitakuwa wazi kadnali Petro parolini ambaye kwa sasa ni karibu mkuu wa vatikani ana dhaniwa kurithi kiti hicho.
View attachment 3248414pamoja na kuwa kiungo mkubwa kati ya vatikani na mataifa pamoja na kanisa ulimwengu, ni mwitalino kwa asili na inakumbukwa kuwa kwa miaka ya hivi karibuni upapa umetoka nje ya Italy hivyo jitihada za kurudisha Italy kwenye mamlaka ya upapa ni mkubwa sana, na safari hii hakuna namna inaweza kushindikana .View attachment 3248417hii yote ni kwa mtazamo wangu, ila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu na Bwana Yesu na Roho Mtakatifu.
Aliowahi angalau kutajwatajwa alikuwa Francis Arinze wa nigeria.ila niwajuavyo Wazungu Hilo halitatokea labda wawe na ajenda.HIVI LINI ATATOKEA PAPA MWEUSI AU ALISHAWAHI KUWEPO??
Hivi Papa Yohane Paulo wa pili alikuwaga ni wa taifa gani la kuzaliwa yule?Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.
Soma Pia: Habari mpya kuhusu Afya ya papa Francs
Nikatika muktadha huo tuapozidi kumuombea nafuu na uponyaji baba yetu huyu wa kiroho ndipo fununu na tetesi na dhana zinapo bainisha iwapo kiti cha uchungaji cha ki papa kitakuwa wazi kadnali Petro parolini ambaye kwa sasa ni karibu mkuu wa vatikani ana dhaniwa kurithi kiti hicho.
View attachment 3248414pamoja na kuwa kiungo mkubwa kati ya vatikani na mataifa pamoja na kanisa ulimwengu, ni mwitalino kwa asili na inakumbukwa kuwa kwa miaka ya hivi karibuni upapa umetoka nje ya Italy hivyo jitihada za kurudisha Italy kwenye mamlaka ya upapa ni mkubwa sana, na safari hii hakuna namna inaweza kushindikana .View attachment 3248417hii yote ni kwa mtazamo wangu, ila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu na Bwana Yesu na Roho Mtakatifu.
Tunaanzaje kukataa au kukubaliana na wewe wakati ndio tunamsikia sasa hivi toka kwako. You are on your own pal..... Kwa hili kubaliana mwenyeweila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu n
vp mtazamo wake kuhusu ushoga?Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.
Soma Pia: Habari mpya kuhusu Afya ya papa Francs
Nikatika muktadha huo tuapozidi kumuombea nafuu na uponyaji baba yetu huyu wa kiroho ndipo fununu na tetesi na dhana zinapo bainisha iwapo kiti cha uchungaji cha ki papa kitakuwa wazi kadnali Petro parolini ambaye kwa sasa ni karibu mkuu wa vatikani ana dhaniwa kurithi kiti hicho.
View attachment 3248414pamoja na kuwa kiungo mkubwa kati ya vatikani na mataifa pamoja na kanisa ulimwengu, ni mwitalino kwa asili na inakumbukwa kuwa kwa miaka ya hivi karibuni upapa umetoka nje ya Italy hivyo jitihada za kurudisha Italy kwenye mamlaka ya upapa ni mkubwa sana, na safari hii hakuna namna inaweza kushindikana .View attachment 3248417hii yote ni kwa mtazamo wangu, ila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu na Bwana Yesu na Roho Mtakatifu.
Acheni stori za vijiweniHamna kitu hapo..ilikuaje akamshauri papa akubali ushoga kanisani...bora ya cardinal Sarah na rugambwa wa tabora wape mapapa
Wakiwa ma papa majina hubadilika?!!Jina la asili kabla ya kuwa papa, nilidhani ndio ulikua unaulizia hilo