Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

Figo zimefeli
Mapafu yote hana
Ini limeshachoka
Bandama halifanyi kazi
Kongosho limesimama kupiga kazi

Kilichobaki ni moyo tu na Ubongo hapa siku yoyote utasikia tanzia
Situation kama ya John Paul II - hali ilidorora, akaimbwa kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu hadi umauti wake.
 
Hapo bold punguza mitazamo kwenye mambo ambayo huna uelewa nayo
 
Wamteue Mtu ambaye bado kijana kidogo angalau mwenye umri wa miaka 50 hadi 55.

Wamekuwa wakiwateua Watu wazee sana
 
Hana mapafu na Figo zote 2 hana unategemea atanyanyuka kwa kutumia Figo na mapafu yako, hujui muda huu amelala pembeni kuna mtungi wa gesi puani unamuwezesha aweze walau kusogeza dakika ila sio kumuwezesha kuishi miaka 2 mbele


Kifo ni fumbo ambalo hakuna mwanadamu anayelijua jibu lake. Unayemtarajie afe leo au kesho anaweza asiwe. Badala yake akafariki ambaye hukuwahi hata kumtarajia.

Tangu Papa amelazwa, unadhani ni wangapi wamefariki? Je, unaamini hao wote walikuwa na hali mbaya kuliko Papa, kwa kuonekana?

Sisi tunamwombea uponywaji lakini muamuzi ni Mungu pekee yake.
 
Papa mwenyewe hakuwahi kuukubali ushoga. Kwa maneno yake alisema kuwa Kanisa inabidi lisiwatenge, bali liwaoneshe upendo mashoga kama linavyowaonesha wakosefu wengine.

Akasema kuwa ushoga ni dhambi lakini siyo jinai.

Akasema kuwa makasisi wasikatae kuwabariki au kubariki vitu vya mashoga wanapoomba huduma hiyo ila waambiwe namna iliyo njema kwa kadiri ya mpango wa Mungu. Akamalizia kwa kusema kuwa makasisi wanawabariki binadamu na vitu vyao lakini hawabariki ushoga maana Mungu hawezi kubariki dhambi. Lakini watu wakapotosha kwaajili ya malengo yao maovu.
 
Kwani Waafrika hawana uwezo wa kukalia hicho kiti?
 
Hivi papa anaweza kuwa mtakatifu kuliko BABA yako MZAZI?Imani nyingine ni utahira mbuzi kabisa tena mzungu


Ukoloni mamboleo hasa wa kifikira ndiyo unaowasumbua waAfrika waliowengi
 
Huwa nina waza, hivi ni kweli huyo Roho mtakatifu huwa anawawezesha wazungu tu kuwa ma Papa??? Kwa nini Papa asiwe Mwafrika???? Au ndo kuna kamchezo kanafanyika kuwa favour wazungu!!!!?
 
Wamteue Mtu ambaye bado kijana kidogo angalau mwenye umri wa miaka 50 hadi 55.

Wamekuwa wakiwateua Watu wazee sana
Nilikuwa na mtazamo kama wako,
Ingawa binafsi nafikiri washuke chini ya hapo, miaka 40 mpaka 50.

Mara kwa mara huchagua wazee sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…