Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,656
Soma tu hapa Bongo jitahidi First Year uwe na GPA ya 4 na umaintain mpaka third year uelewe unayofundishwa na sio kucrame ku copy na ku pest in short utoke umeiva ukimaliza chuo ukiomba kwenda kusoma nje utapa na udhamini work hard kuanzia mwaka wa kwanza kikubwa usiibie jitahidi kuelewa unachosoma na ufaulu vizuri na ukisoma UDSM au SUA ukatoka na hiyo GPA itakuwa poa sana na inawezekana.asante sana mkuu "the state" mungu akubariki. umenielezea vizuri sana, na kuna mtu ameniambia wanaopata admission harvard kutoka bongo wemesoma shule za kimataifa kama IST na lazima uwe na IB sasa wengine tunasoma local schools na vigezo ni vigumu.