PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

Endeleeni kuongozwa li chama lenu na mtu aliyeambilia div o Form six.
 
Miaka ile alianza shule akiwa na miaka 5
 
Wanaona gere wanaona gere wanaona gere,🤣🎸
 
Anawazidi wenye PhD kwa pesa. King Msukuma ni tajiri!
Ndiyo kusema nini? Na wenye PhD wanamzidi elimu. Kijijini kwetu na vijiji vya jirani zamani kulikuwa na matajiri kadhaa na leo ni maskini na badala yake wameibuka matajiri wapya, ambao enzi hizo hata hawakuwepo. Ukiwa na pesa usizitumie kuwakanyaga wengine kichwani maana haya mambo hubadilika...
 
Hiyo heshima kama Andunje atanuna hivi.Angepata yeye mngemtambua
 

Karibu yote uliyosema ni kweli....

Nilisema hivyo kwa sababu jamii yetu inathamini wenye pesa. Hata uwe profesa uliyeandika mavitabu 100 na unajulikana kimataifa kama huna pesa we ni takataka tu mbele ya jamii. Ndiyo maana akina Musukuma na Kishimba kila siku kutukana maprofesa kwa vile wana pesa japo hawajasoma!

Sijui kama Musukuma anatumia pesa zake kuwakanyaga wengine ila nijuavyo mimi ni mtu mwema na anayejitolea sana jimboni mwake...
 
Sasa ndio wamvalishe mwenzao kofia ya mamantilie na joho la madiwani kwa dola 500?!!!
 
PHD ya heshima huwezi kuitumia kama 'ante' rasmi ya jina.. neno DR. utalitumia tu kwenye mawasiliano na chuo kilichokupatia hiyo shahada ya heshima na siyo vyuo vingine. Katika CV inakuwa kwenye 'awards' siyo 'academic qualification'..
Hivyo ushawishi wa shahada ya heshima inaishia kwenye uzio wa nyumba yake..😛
 
Mbona Kikwete anaitumia?
 
Mzaha sio Mzaha! Ila watu tunamuonea Musukuma Kasheku bure kuvaa joho na kofia mgambo ile ya PhD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji28][emoji28].....kazengua kweli kweli ujue....anafikri kusoma rahisi hajui kwanini alikimbia umande akiwa primary school.

Kifupi hii tuuite Kihiyo tu hiyo PhD

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Bagonza ana wivu tu
 
Lukuvi elimu yake si ya la saba hyo PhD kaipataje na lini?
 
Anaitwa
Eric Msemakweli
Kitabu
Mafisadi wa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…