PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
Nitaongea na familia yagu nadhani wanatambua mchango wangu waangalie namna yakunipatia hata ka PHD bwana
 
Fikiria Rais wa India na Waziri Mkuu wake hawana hizi PhD za maigizo, wameona wampe maza ni mpenda sifa wahindi waendelee kupiga pesa Tanzania bila kusumbuliwa
Unaweza kuta Mzee Mzima Rostam amefanikisha huu mchongo.

Wenzao akina Ben Mkapa wamewahi kupewa hizi PhD za mchongo lakini hawajawahi kuji-address eti Dokta Ben

Huu ni Ukoloni mamboleo tunafanyiwa na hawa watoa PhD za mchongo 🙌
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
Wacha wivu na chuki Patriot Utakufa kwa kijiba cha roho. Kama huwezi kuyatambua aliyoyafanya Rais Samia kwa kipindi cha miaka 2 ya uongozi wake wewe utakuwa KIPOFU
 
Sijui kwanini baada ya utawala wa Kikwete PhD zimekuwa deal kwa MaRaisi wetu.

Dr Jakaya Kikwete
Dr John Magufuli
Dr Samia Suluhu
Dr .............ajaye

Mbona jambo hili la Dokta......halipo Kenya

Rais Mwai Kibaki
Rais Uhuru Kenyata
Rais William Ruto
N.k

Sisi tuna shida mahali 🙌
u-Dr kivuli cha watu wadhaifu na wasiojiamini
 
Unaweza kuta Mzee Mzima Rostam amefanikisha huu mchongo.

Wenzao akina Ben Mkapa wamewahi kupewa hizi PhD za mchongo lakini hawajawahi kuji-address eti Dokta Ben

Huu ni Ukoloni mamboleo tunafanyiwa na hawa watoa PhD za mchongo 🙌
Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawataka hizi sifa ambazo hazina msaada wowote
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!
Kisha akawapa ulaji mkubwa sana!
Likaja la Dubai (dipii wedi) nao wakapewa walichopewa!
Sasa la India sijui nao watepewa nini!
 
Huyu alipata ya halali siyo maigizo, pamoja na kwamba alikuwa ni dikteta lakini kichwani alikuwa ni mzima, wakenya hawaamini katika sifa wanaamini katika vitendo
Kwa mujibu wa andiko la Ben R. Saanane ambalo halikukanushwa mpaka leo na kufuata kupotea kwake mpaka leo ni uthibitisho kuwa PhD ya Magufuli ndiyo iliyopatikana kwa maigizo na hivyo kutokuwa halali! Umefanya vizuri kukiri kuwa alitumia udikiteta kuficha makando kando yake!
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
Kwa nini wewe umekosa na badala yake amepata Samia jibu hili hapa 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1711254216507863280?t=3fN8BZKfhncmpv4rcGh8Fw&s=19

Hayo mengine ni wivu na chuki binafsi na Kwa taarifa yenu mtachukia sana maana Samia ni Mama wa Uchumi 👇

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1711715449694523469?t=bSi_jGFT4ngKseRFou58Mw&s=19

View: https://twitter.com/BloombergAsia/status/1711722600869536120?t=6nRZ8cbTnGQic_tWFtcy4Q&s=19
 
Sisi tuko hivi watu wa karibu wanaweza kukusifu sana kwamba jamaa anakunywa pombe mno yuko vizuri sana huyu jamaa, anaweza piga mizinga hata mitatu wa konyagi.

Muhusika akaona kamaaliza na anafanya bidii kuongeza kiwango.
Siku zimeleta madhara hata kupoteza uhai wale wale wanaanza kusema tena jamaa alizidi mno hadi alikuwa anafanya sifa anajiona sana.

Muafrika msifie tu kwisha kazi.
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
Ndugu zangu baada ya kuanza mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya JF na hatimae kuwa member, nimeanza kupata picha kwanini nchi imebaki hivi ilivyo na itaendelea kuwa hivi kwa muda mrefu ujao!

Mtu anaamka asubuhi anaanza kujadili PhD za heshima anazopewa raisi wa nchi? eti mtu anaonea wivu PhD za heshima! kitu ambacho hakina thamani yoyote ya maana kwake wala nchi, ni utamaduni wa kimataifa uliokuwepo kwa miaka mingi, ni kama vile kupigiwa mizinga 21 au kuwekewa zulia jekundu.. nchi hii bhana!
Ukiuliza hapo watakwambia ARDHI YETU, MBUGA ZETU, MADINI YETU! Hivi nani kakudanganyeni kuwa kuna nchi hapa duniani haina ardhi? au rasilimali nyingine tofauti yetu ni kiwango tu na aina ya rasilimali.
 
Kwa mujibu wa andiko la Ben R. Saanane ambalo halikukanushwa mpaka leo na kufuata kupotea kwake mpaka leo ni uthibitisho kuwa PhD ya Magufuli ndiyo iliyopatikana kwa maigizo na hivyo kutokuwa halali! Umefanya vizuri kukiri kuwa alitumia udikiteta kuficha makando kando yake!
Kwa hiyo unataka kuniambia maza anastahili PhD kuliko Biden, Putin, Kagame, Ramaphosa n.k?
 
Kenge wa CCM kwenye ubora wao, kuna mkutano mkubwa wa maendeleo unaendelea Nigeria, nguli kibao wa uchumi, wamealikwa na wanatoa mada, Yupo PLO Lumumba kutoka Kenya, yupo Vusi thembekwayo kutoka South Afrika.
Lakini kenge hawa wa bongo wenye PHD za plastic/bandia hakuna aliyeenda, maana yataongea nini!
Biteko, Jafo, Samia, Kikwete, na wapuuzi, wengine wa CCM wenye ma "degree" Ya mchongo, hakuna hata mmoja aliyeenda.
Hata huyu "mchumi" Wa, kuchonga Mwigulu,asingeweza kuongea chochote, kenge kabisa.
 
Back
Top Bottom