PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

Aibu kubwa sn unajiita Dr/Pro huku hakuna umeme, maji, dola wala petrol
Shida ya Viongozi wetu ni kutanguliza maslahi yao binafsi kuliko matatizo ya Nchi.

Solution za mambo yote hayo tunazo kwa kutumia hizi hizi Masters na degree zilizopo. Changamoto ni kuwa kupitia ukosefu wa dollar, Umeme na Maji kuna Viongozi wananufaika.

Poor us 😢
 
Tumelaaniwa sisi
 
Ndugu zangu baada ya kuanza mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya JF na hatimae kuwa member, nimeanza kupata picha kwanini nchi imebaki hivi ilivyo na itaendelea kuwa hivi kwa muda mrefu ujao!

Mtu anaamka asubuhi anaanza kujadili PhD za heshima anazopewa raisi wa nchi? eti mtu anaonea wivu PhD za heshima! kitu ambacho hakina thamani yoyote ya maana kwake wala nchi, ni utamaduni wa kimataifa uliokuwepo kwa miaka mingi, ni kama vile kupigiwa mizinga 21 au kuwekewa zulia jekundu.. nchi hii bhana!
Ukiuliza hapo watakwambia ARDHI YETU, MBUGA ZETU, MADINI YETU! Hivi nani kakudanganyeni kuwa kuna nchi hapa duniani haina ardhi? au rasilimali nyingine tofauti yetu ni kiwango tu na aina ya rasilimali.

Punguza unafiki, PhD sio karanga kila mtu anapewa
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
Aliyenacho huongezewa asiyenacho hata kidogo kilichopo kitachukuliwa. Ukweli mbaya kuhusu maisha ya dunia hii.
 
Ukishaelewa kwamba, PhD hata ya kuitafuta kwa kuisomea mwenyewe, haina maana kama haiendani na kazi ya mtu, basi utagundua kwamba haya malalamiko ya PhD za heshima hayana maana.

Kwa sababu, malalamiko haya yanatoa picha kwamba, labda wenye PhD za kusomea wenyewe wana maana zaidi.

Wakati, kiukweli, usomi wowote wa kuoneshwa kwenye vyeti hauna maana kama elimu hiyo haionekani kwenye maisha na kazi za mtu.

Suala hapa ni kwamba elimu yoyote inayoishia kuoneshwa kwenye vyeti, bila ya kuonekana kwenye maisha na kazi za mtu, haina maana.

Ukielewa hilo, hutaona tofauti ya PhD ya heshima na ya kusomea.

Kwa sababu hutampima mtu kwa vyeti vyake, utampima kwa kazi yake.

Tatizo Watanzania wengi mnataka kupima watu kwa vyeti, badala ya kupima watu kwa kazi zao.

Ukisoma Samia alivyosaini Instruments of Full Powers kwenye IGA na DP World, utajua kuwa huyu mtu hata angekuwa na PhD ya kusomea mwenyewe, bado ni mtupu tu.

Ukimsikiliza Samia alivyoongea kuhusu "flat chested athletes" utajua tu huyu mtu hata kama angekuwa na PhD ya Harvard ya kusomea mwenyewe, inawezekana kafanyiwa, bado ni mbumbumbu tu.
 
Huyu mama abdul wa kizimkazi Hana nia njema na waTanganyika baada ya waarabu sasa kaingia kwa wahindi 😭😭😭😪

waarabu na wahindi wote wana roho mbaya na ubinafsi wa hali ya juu😭
 
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza!

La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkumbwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali nchi, hapo kuna jambo. Ni wepesi wa kuelewa udhaifu wa viongozi wetu.

Si mulionesha njia kwa UD kumpa rais wetu PhD ya heshima? Eti baada ya mwaka mmoja tu Chuo kikongwe cha UD kikaona huyu ni kiboko kwa mchango wa maendeleo. Ila hiyo ilikuwa kabla ya kuuza bandari zetu.

India waliona na waliskia na naamini ubalozi wao ulitoa taarifa hizo kwamba PhD ni dili kwa Ikulu yetu. Sasa PhD zitamiminika sana! LAkini tujiandae kupoteza vingi. NI sawa na biashara ya shanga na kwa dhahabu na almasi za shinyanga.
ufisadi una sura nyingi mkuu...si ajabu ukasikia UAE nao wanatoa
 
Mtu analala anaamka ana PhD!

Anyway,Pongezi kwake Dr Samia
Bado wewe, maana nimeambiwa unataka kugombea Mwaka 2040 kwahiyo utaitwa Mheshimiwa Dr Saint Anne 🤗

Hautaweza kuibadiri political atmosphere ya Tanzania kwa sasa, maana Machawa wa kufanikisha haya wamefungua hadi Ofisi kwa kazi hii 🙌
 
Mwezi wa 8 nilikuwa na wadada wawili(Professors) ni wahadhiri wa chuo cha Manchester tumefanya kazi siku 4 ya 5 ndiyo nikaja kujua kama ni Maprofessors tena wanafundisha chuo kikuu maarufu kama hicho lakini wanapendwa kuitwa Ms, nikasema ingekuwa huku ujingani mpk nyasi zingejua.
Tena huku mtu akia Dr ukimuita kwa jina lake utasika AM Doctor
 
Kuna mtu aliwahi andika, " kusoma sana ni uoga wa maisha".
Mimi naandika kuwa kukubali kutunukiwa Ph.D ya heshima na kukubali kuitwa dokta ni kukubali kuwa wewe huna uwezo wa kuipata hiyo doctorate kwa kuipambania.
 
Back
Top Bottom