PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

Akirudi huko na PhD yake ya mchongo kesho zitaanza teuzi maana atakuwa amemiss sn kuteua
 
Hivi kwa nini hizi heshima hawapewi watu kama kina Trump,Putin nk ni AFRICA TUU HASA TANZANIA
 
Mtoe Magufuli hapo
Alipitia shule
 
Heshima ipi ya kupewa phd?. Kafanya lipi, wapi?. Hata wawe na ma phd elfu kumi kama hawana cha kudeliver kwa watanzania ni kazi bure. Shame on you CCM
 
Niliwahi kuandika hapa kuwa PhD za kitaaluma na za heshima ni vitu tofauti sana. Ile ya heshima anatunukiwa mtu ambaye tayari yuko kileleni katika fani anayotumikia--nasiyo PhD ya kutafutia uprofesa au ajira.
Napenda Wa-Amerika wanavyofanya.Wanasiasa wanaitwa na kutajwa kwa majina yao. Sio Mheshimiwa, Dkt, Prof n.k.
 
Heri ya Rais kuchagua kutembelea nchi ya kigeni na KUREJEA nyumbani na PhD ya kuheshimiwa,kuliko Kosa la awali la kutembelea nchi za wapigaji,walaghai wa kimaghumashi na KUREJEA na Mikataba ya kilaghai ya kufilisi nchi! Ni Kosa ambalo Sasa ameanza kuligundua kwa kuchelewa.Hata teuzi zake Sasa zimeanza kuwa za kiuelewa,ameanza kutambua kwamba UHAFIDHINA kwa mrengo wowote ule haujengi nchi,unabomoa Taifa na kujenga ghadhabu ya mchoko (pent up furry).Sasa ameanza kutambua kuwa amani na utulivu tunavyojivunia sote vilipatikana kwa mazingira tunayoyasigina kijinga kwa Mswala upitao.Vijana walitaka kumpeleka puta Rais kabla hajaghutuka,wengi wakaanza kutomwelewa!Angalia jinsi alivyopozi kwa uso mtulivu na officials wa kihindi kwa nyuso sawa!

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Dr magufuli hyo kuitea ilikuwa haki yake maaana ameisotea ila hao wemgine wacheza ngonjera
 
PhD za heshima Ni kilemba cha ukoka,tuja na mchezo wa nchi za kibeberu kupumbaza jamii zisizojielewa.Utamaduni huo unakoma haraka Sana kwa nchi zilizoendelea.Hutasikia watu wanajipambanua kwa kisomo au PhD kwa kuwa hicho Ni kiatu tu cha mguu cha kutembelea.Obama Ana PhD Kali na Ni Progress,umemsikia akiitwa au kujipambanua hivyo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wazungu hawataki sifa za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…