Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
 

hata bongo wapo watu wengi vipaji vimewabeba. wana umri mdogo na kipato wanacho ila bado ni wagumu kuoa. mfano Ray Vanny, Harmonize, Hasheem Thabeet na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…