Phila Ndwandwe: Binti mwenye akili kubwa aliyechagua kufa kuliko kumtumikia Kaburu!

'kumpiga risasi kichwani yeye na mwanae na kuwazika kwenye kaburi la pamoja.'

Bado tuna shida katika umakini wa kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusoma post yote baada ya kujawa na simanzisimanzi. Baada simanzi kutulia muda huu ndio nagundua jibu la swali langu lipo paragraph ya mwisho. Kumradhi kwa usumbufu.
 
Kuna mada nyingine ipo hapo chini ya muda kiasi inamzungimzia huyo Phila kwamba mto hakuuawa.
Siku aliyokamatwa hakuwa na mtoto,alimuacha Nyumbani.
Naona inachanganya.
 
Kuna mada nyingine ipo hapo chini ya muda kiasi inamzungimzia huyo Phila kwamba mto hakuuawa.
Siku aliyokamatwa hakuwa na mtoto,alimuacha Nyumbani.
Naona inachanganya.
Kweli na mimi waleta mada wa menichanganya...hii nimeitoa kwenye uzi huo.
Lakin mtoto tunayemuona kwenye picha iliyoko post ya kwanza ya uzi huu siyo mtoto wa miezi miwili. Historia hapa haijawekwa sawa.
 
Sasa ukweli sijui ni upi?
 
Mtoto wake na Shujaa Phila Ndwandwe ( R.I.P), yupo wapi!?
===
Nimeguswa sana.
Rudia kusoma. Waliuawa wote wawili pamoja. Inasikitisha saana. Tujifunze kuwa Amani haipatikani kwa karatasi ila kwa kujitoa mhanga.
 
Kweli na mimi waleta mada wa menichanganya...hii nimeitoa kwenye uzi huo.

Lakin mtoto tunayemuona kwenye picha iliyoko post ya kwanza ya uzi huu siyo mtoto wa miezi miwili. Historia hapa haijawekwa sawa.
Mkuu Tujitegemee na wadau wengine nimeipata mahali ,baada ya ku' search ' jina la huyo dada.
Ni kwamba mtoto Hakutekwa pamoja na mama yake, alikuwa nyumbani na baba yake.
Kuna gazeti moja la kiswahili toleo la Januari 21 ,2019 liliandika makala yake.
Mwandishi ni Abel Mushi, wahariri wa JF wajaribu kumtafuta huyo mwandishi.
 
Hata historia ya nchi yetu inachanganywachanganywa na kuvurugika, kuna wazee wa kiislam wengi walipigana kufa damu kuitetea Taifa lakini leo hii hawasikiki kabisa kwenye vitabu vilivyopo
 
Asante, Mkuu. Nina imani JF Quality Content Controller atalifanyia kazi hili. Nitakuwa natembelea uzi huu mara kwa mara kuona kama wamelifanyia kazi wahusika.
 
Aisei binadamu ni katili sana, Mandela alichemka kuwasamehe hawa makaburu aisei..[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nop alikuwa sahihi nje ya hapo yangeluwa ya Rwanda. Hata sasa Rwanda bado wakifanya mchezo watachinjana tena ndio tuna kataa sera za Rwanda ktk taifa hili.
 
Nop alikuwa sahihi nje ya hapo yangeluwa ya Rwanda. Hata sasa Rwanda bado wakifanya mchezo watachinjana tena ndio tuna kataa sera za Rwanda ktk taifa hili.
Akwende huko, wewe unaona SA watu wanaridhika na maamuzi ya Mandela..?? Makaburu lazima wawajibike kwa makosa waliyoyafanya walipe madhira waliyowafanyia watu weusi, twende turudi ipo siku jamaa watajilipiza kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…