binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Aiseeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'kumpiga risasi kichwani yeye na mwanae na kuwazika kwenye kaburi la pamoja.'Mtoto wake na Shujaa Phila Ndwandwe ( R.I.P), yupo wapi!?
===
Nimeguswa sana.
Sikusoma post yote baada ya kujawa na simanzisimanzi. Baada simanzi kutulia muda huu ndio nagundua jibu la swali langu lipo paragraph ya mwisho. Kumradhi kwa usumbufu.'kumpiga risasi kichwani yeye na mwanae na kuwazika kwenye kaburi la pamoja.'
Bado tuna shida katika umakini wa kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apartheid..Kaburu aliwafanya waafrika kusini weusi waishi kama wapo jehenamu,cha ajabu leo hii nao wamejisahau wanawatesa wageni
Ona mtiti wa kaburu
View attachment 1308858
View attachment 1308859
Nenda mkuuEINSTEIN112,
Nikipat a fedha nitaenda kufanya Ibada/ kuhiji huko Kwa Zulu
Kweli na mimi waleta mada wa menichanganya...hii nimeitoa kwenye uzi huo.Kuna mada nyingine ipo hapo chini ya muda kiasi inamzungimzia huyo Phila kwamba mto hakuuawa.
Siku aliyokamatwa hakuwa na mtoto,alimuacha Nyumbani.
Naona inachanganya.
Lakin mtoto tunayemuona kwenye picha iliyoko post ya kwanza ya uzi huu siyo mtoto wa miezi miwili. Historia hapa haijawekwa sawa.! Ni kupitia tume hiyo wale askari waliomuua Phila walijitokeza hadharani, wakaungana na wazazi wa Phila, maafisa wa serikali, yule mtoto wa Phila aliyeachwa akiwa na miezi miwili sasa alikuwa na miaka nane, wakaelekea Phina alikofukiwa. Wakati muuaji anachimba kutafuta mabaki ya Phila alisema, “She was very brave, very brave.”
Kweli na mimi waleta mada wa menichanganya...hii nimeitoa kwenye uzi huo.
Lakin mtoto tunayemuona kwenye picha iliyoko post ya kwanza ya uzi huu siyo mtoto wa miezi miwili. Historia hapa haijawekwa sawa.
Rudia kusoma. Waliuawa wote wawili pamoja. Inasikitisha saana. Tujifunze kuwa Amani haipatikani kwa karatasi ila kwa kujitoa mhanga.Mtoto wake na Shujaa Phila Ndwandwe ( R.I.P), yupo wapi!?
===
Nimeguswa sana.
Mkuu Tujitegemee na wadau wengine nimeipata mahali ,baada ya ku' search ' jina la huyo dada.Kweli na mimi waleta mada wa menichanganya...hii nimeitoa kwenye uzi huo.
Lakin mtoto tunayemuona kwenye picha iliyoko post ya kwanza ya uzi huu siyo mtoto wa miezi miwili. Historia hapa haijawekwa sawa.
Asante, Mkuu. Nina imani JF Quality Content Controller atalifanyia kazi hili. Nitakuwa natembelea uzi huu mara kwa mara kuona kama wamelifanyia kazi wahusika.Mkuu Tujitegemee na wadau wengine nimeipata mahali ,baada ya ku' search ' jina la huyo dada.
Ni kwamba mtoto Hakutekwa pamoja na mama yake, alikuwa nyumbani na baba yake.
Kuna gazeti moja la kiswahili toleo la Januari 21 ,2019 liliandika makala yake.
Mwandishi ni Abel Mushi, wahariri wa JF wajaribu kumtafuta huyo mwandishi.
Nop alikuwa sahihi nje ya hapo yangeluwa ya Rwanda. Hata sasa Rwanda bado wakifanya mchezo watachinjana tena ndio tuna kataa sera za Rwanda ktk taifa hili.Aisei binadamu ni katili sana, Mandela alichemka kuwasamehe hawa makaburu aisei..[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akwende huko, wewe unaona SA watu wanaridhika na maamuzi ya Mandela..?? Makaburu lazima wawajibike kwa makosa waliyoyafanya walipe madhira waliyowafanyia watu weusi, twende turudi ipo siku jamaa watajilipiza kisasi.Nop alikuwa sahihi nje ya hapo yangeluwa ya Rwanda. Hata sasa Rwanda bado wakifanya mchezo watachinjana tena ndio tuna kataa sera za Rwanda ktk taifa hili.