Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kinana ni kijana?
Mkuu 'Victoire', naona umekuwa mpole!Sasa Chadema huu ndo muda wenu wa kushine kama mtakuwa na akili. Nendeni kwa wananchi mjijenge. Maana ukweli sasa hii iliyopo ni serikali ya kufavor matajiri ambao ni minority hapa Tanzania.
Watatumia mabunduki kama Magufuli... kwani Mangula aliwezaje?Ugonjwa mkubwa ndani ya CCM ni kuchagua wazee. Kinana ni mzee ataweza mbio za cdm kwa sasa?
Akina kibajaji huko tumbo joto wasiyempenda huyooo mdogo mdogo anarudi sasa chama kimeshika hatamu.Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Mang'ula ni Msafi kinana ni mchafu kwenye Jamii ya walio wengi.
"HOLYCOW"! 'SWADAKTA"Hizi ni siasa za Urefu wa kamba....
Master ni JKMangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Kuna kipindi watumishi wa umma wamesaga meno kama kipindi cha Jiwe?Kwahiyo kuna watu wameshangaa upitaji wa hayo majina?? Kwamba hili swala hamkulitarajia au?
Hii nchi imeoza, na utawala wa huyu dada ni lazima watu wasage meno hasa wale wa kipato cha chini (watumishi wa umma).
Ungana nao ule nyamaBorn town wanavamia shamba kwa kasi....
Hii nchi fanya yako upate ugali ulale...haya ya huko ni utopolo mtupu!
Wenye visu ndo hula nyama
Ni kweli kaka nakumbuka pia,Niko shule ya Msingi nasoma darasa la 5, Mh. Mangula alikuwa Mkuu wa Wilaya yetu ya Kwimba na tuliwahi kumwalika kwenye kata yetu kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya Sabasaba. Alikuja akiwa amevaa kombati za JWTZ. Wengi wasichokijua ni kwamba Mangula pia ni mwanajeshi wa JWTZ, ila wengi hawajui hilo
Sasa hivi ni CCM ya Kikwete. Mangula hawezi kufanyakazi na Kikwete. Ni mtu ambaye kuzunguka wengine hawezi. Kumbuka huyu ni katibu wa CCM wa kwanza msomi na baada ya hapo akaletwa mzee wa mipasho, Makamba na kuharibu maana ya katibu wa chama.Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Mangula kijana wa mzee mchongaKinarudi Kwa wenyewe na Mangula inaonekana alikuwa msaliti kubwa Kambi moja na Jiwe.
Katiba yetu haijasema mtu akifufuka nn kitatokea hivyo uwezekano ni akija leo hatakuwa raisi. Itakuwa kama kipindi kabla hajawa kiongozi. Atafuata maelekezo ya samia au kuanzisha kikosi cha waasi.Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tembo , faru wajiandae kupotea na Ngorongoro sasa imeondoka vizuri.
JPM angefufuka leo akatokea Dodoma kuna watu wangeogelea baharini kukimbilia kwao.
Mimi sishangai kwa mtu wa umri huo kuwa na nafasi hiyo.Mm pia najiuliza Kama ww, sipo CCM Wala sio mfuasi wa mangula. Maana pia nilishangaa unakuwaje mtu mwenye 70+ anakuwa na nafasi kubwa hivyo.
Ni Kama Sasa ilivyo kwa Kinana 70+ bado nafasi kubwa Kama hiyo
Alafu utakuta wananchi na upinzani wanaicheza hii ngoma badala ya kujiimarisha kuiadhibu ccm...Radio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.
Wewe unakinganisha umri wa Kinana na Mangula? Wapi na wapi hiyo!Kinana ni kijana?
Uchaguzi wa 2025 ni CCM tu!Radio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.
Daah... badala ya kujiimarisha kuiadhibu ccm na mifumo yake wewe unawaza wafu wafufuke?Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tembo , faru wajiandae kupotea na Ngorongoro sasa imeondoka vizuri.
JPM angefufuka leo akatokea Dodoma kuna watu wangeogelea baharini kukimbilia kwao.