Aliona hawamshirikishi chochote kitu.Amekaa shambani analima "fitofu" tu(viazi mviringo).Muhehe/Mbena ni kiburi.Amewaachia jalala lao.Mgaya siida hela!Kumbi ndauli?Ameachia au kaachishwa Kwa kuwekwa pembeni
Kwani kinana umri bado? Sema jingineNadhani umri ndio sababu kuu....
Ni mzee acha apumzike
Tembo bye byeAliona hawamshirikishi chochote kitu.Amekaa shambani analima "fitofu" tu(viazi mviringo).Muhehe/Mbena ni kiburi.Amewaachia jalala lao.Mgaya siida hela!Kumbi ndauli?
Wataitafuna balaaWamerudisha nchi mfukoni mwao
Kinana si makapikapi walisema apumzike nayeNi mzee acha apumzike
Mbona Kama wapo sawa na Kinana?Ni mzee acha apumzike
Umeongea point kubwa sanaSasa Chadema huu ndo muda wenu wa kushine kama mtakuwa na akili. Nendeni kwa wananchi mjijenge. Maana ukweli sasa hii iliyopo ni serikali ya kufavor matajiri ambao ni minority hapa Tanzania.
Giza na mwanga havijawahi ku co exist...All the best Mzee wa miaka mingi, aliyetumikia nchi yake kwa uzalendo usiotiliwa shaka...Kazi yako si bure Mungu unayemtumikia na kumwamini bado yu hai, best wishes!Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Atawavuruga machadema mpaka mumkumbuke MaguRadio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.
kabisa: Philip Mangula born 31 March 1941. Kinana October 1951Nadhani umri ndio sababu kuu....
Bado nani kutoka kwenye team ya zamani hajapata uteuzi?
Ndio..Kuna kajamaa kanaitwa Crimea nadhani katakuwa kashaanza kuelewa nini maana ya wenye chama chao...