Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Kwa hali ilivyo sasa hivi ccm imefikia mwisho wa fikra za kiuongozi.
Ilikua inahitajika ccm mpya tena nje ya kuwa madarakani.

Hapo hakuna mabadiliko yoyote yatakayo tokea hata awe nani anaingia wala atakae toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wana Msemo wao kuwa CCM ina wenyewe.
 
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Giza na mwanga havijawahi ku co exist...All the best Mzee wa miaka mingi, aliyetumikia nchi yake kwa uzalendo usiotiliwa shaka...Kazi yako si bure Mungu unayemtumikia na kumwamini bado yu hai, best wishes!
 
Back
Top Bottom