Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujumla CCM imechoka tuache unafiki wala kuoneana aibu.
Wapwani ndio wamepigania nchi hii itakapata uhuruYaani wapwani watupu wamejazana.Nchi hii iko kwa shetani haswa.
Haitegemei kushinda kura kihalali kwani dhalimu wenu bado yupo?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ni takriban wiki moja sasa tumeona wachangiaji mbalimbali humu Jamiiforums.
Wanajaribu kutupasha kuhusu CCM kuwa na mkakati wa Abdurahman Kinana kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho huku Bara.
Kwenye kikao chao kinachoendelea huko Dodoma kuanzia leo 31/03/2022.
Abdurahman Kinana ambae alishindwa kujivua Magamba?
Kinana yuleyule wa Falcon Dry Cleaners ya Arusha na washing machine ya Mount Meru Hospital?
Yule Kinana wa Makontena ya Meno ya Tembo na meli yake kule Ughaibuni?
Kinana huyuhuyu mzee wa mtandao wa JK?
Je ni Kinana huyuhuyu ambae Simu yake na Makamba Sr pamoja na Nape,ilinaswa na kumlazimu yeye kuzira chama cha CCM?
Huku mwenzake Nape akienda Ikulu kwa miguu kuomba msamaha?
Je huko CCM hakuna hazina ya viongozi waadilifu kuweza kushika hatamu hadi muishie kulamba matapishi yenu?
Hivi CCM mmesahau jinsi mlivyokuwa mnaelekea kaburini,kabla ya JPM kuja na "CCM ya Magufuli"
Au CCM mnajipanga kuja kukomba kile mlichobakiza kabla ya kuikabidhi nchi kwa chama kingine?
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Hizi ni siasa za Urefu wa kamba....Kweli kabisa.
Sasa tutafute msemo unaoendana na hizi siasa za sasa: Tuziite "Siasa za Ujanja ujanja"! Sijui kama hili lina 'rhyme' vizuri!
Hata hivyo, tofauti yake ni nini hasa kati ya hizo siasa mbili. Matokeo yake yatakuwa ni tofauti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ashinde nani ili tuwe mabasha?
Ahaaa.. Kwa hiyo kumbe mnapenda hiyo ya kutoshinda kihalali ila mnachukia sana hiyo ya kupora uchaguzi?,!Kwani hata kabla ya dhalimu walikuwa wanashinda kihalali? Dhalimu yeye hakuwa anaiba kura tu, bali alikuwa anapora mchakato wa uchaguzi. Yaani alikuwa mshenzi asiyevumilika.
Next foreign ministerHivi Musiba atakuwa na hali gani?Wote aliowachambua na kusema maovu yao wamerudi serikalini. Kuanzia January,Nape na sasa Kinana bila kumsahau Membe.
Mang'ula ni Msafi kinana ni mchafu kwenye Jamii ya walio wengi.Kwani Kinana umri gani na Mangula umri gani?
Angalizo: Usishangae kijeba akiwa Kinana ndugu.
Wa nni muda wake umeisha?Huyu mzee mangula hamtamfuata tena arudi? Maana si Mara ya kwanza hii kumuondoa
Mm pia najiuliza Kama ww, sipo CCM Wala sio mfuasi wa mangula. Maana pia nilishangaa unakuwaje mtu mwenye 70+ anakuwa na nafasi kubwa hivyo.Kwahiyo Mangula hatakiwi kustaafu. Ni mpaka AFIE madarakani?
Hii NCHI, wanasiasa Ni tatizo. Ila wafuasi wa wanasiasa wote Ni tatizo kubwa mnoo
Unaakili sanaMpira umerudi kwa majangili. Kina Kinana. Tembo watapungua sasa. Wauza madawa wapo freee.
CCM 2015 ilishinda uchaguzi? Acheni uongoMzee aliupiga mwingi wakati ule 2015 ccm imechafuka kweli kweli hata wendawazimu hawatak kuisikia,mzee akazunguka nchi nzima akatuliza hali ya hewa.
Baada ya kuhitimisha kampeni akaona Diamond anapewa bil 1,yeye hakupata kitu,akaona afanye aliyoyafanya na yeye akachota za kwake kutoka hazina ya chama,mwendazake aligundua na akamchukia sana,likawa bifu
Mawazo ya kijima kama yepi?Huyu
Huyu ana mawazo ya kijima, aondoke tu, tunahitaji watu wanaoweza kwenda na usasa