Philip Mangula: Magufuli alitaka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini kisa wenzake walikuwa wanatoa pesa

Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media.

"Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya Jumapili, akaniambia, 'Mzee, mimi nataka kujiondoa kwenye hii mizunguko ya kutafuta wadhamini.' Nikasema, 'Kwa nini?' Akasema, 'Hapana, mimi sina pesa kabisa. Wenzangu wanatoa pesa, mimi nikienda mahali mnaongea nao, mnataka kuondoka wanasema, sasa mnatwachaje?'

Basi yeye alikwenda Iringa kutafuta wadhamini 30, kufika pale mjini akambiwa na kiongozi aliyekuwepo wakati huo, 'Bwana usipoteze muda wako hapa, wote hapa wamemshika mkono Lowassa.' Akanipigia simu, 'Mzee, hivi kweli nikose watu Iringa hapa?' Nikasema, 'Hapana, nitampigia Katibu wa Chama wa Wilaya akupeleke kwenye tawi lolote nje ya mji.'

Alipofika kule akakuta watu 50 wamemsubiri. Akaomba wadhamini 30, lakini bahati nzuri wakawa wamejaza fomu zake. Baada ya hapo anataka kutoka wanamuuliza, 'Rasi unatuachaje?' Akasema, 'Nawaacha kama nilivyowakuta.' Huyo kwenye gari akachomoka! Lakini tayari walishajaza majina ya wale wadhamini 30."

Hata Emmanuel Nchimbi wanambeza kuwa huwa anatoa michango kiduchu pale anapoombwa kufanya hivyo.

CCM imejaa viongozi mafisadi yenye ukwasi mkubwa waliochuma kwa njia haramu, majizi yaliyokubuhu, enzi za utawala wa Mwl. Nyerere tuliyaita "kupe".
 
Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media.

"Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya Jumapili, akaniambia, 'Mzee, mimi nataka kujiondoa kwenye hii mizunguko ya kutafuta wadhamini.' Nikasema, 'Kwa nini?' Akasema, 'Hapana, mimi sina pesa kabisa. Wenzangu wanatoa pesa, mimi nikienda mahali mnaongea nao, mnataka kuondoka wanasema, sasa mnatwachaje?'

Basi yeye alikwenda Iringa kutafuta wadhamini 30, kufika pale mjini akambiwa na kiongozi aliyekuwepo wakati huo, 'Bwana usipoteze muda wako hapa, wote hapa wamemshika mkono Lowassa.' Akanipigia simu, 'Mzee, hivi kweli nikose watu Iringa hapa?' Nikasema, 'Hapana, nitampigia Katibu wa Chama wa Wilaya akupeleke kwenye tawi lolote nje ya mji.'

Alipofika kule akakuta watu 50 wamemsubiri. Akaomba wadhamini 30, lakini bahati nzuri wakawa wamejaza fomu zake. Baada ya hapo anataka kutoka wanamuuliza, 'Rasi unatuachaje?' Akasema, 'Nawaacha kama nilivyowakuta.' Huyo kwenye gari akachomoka! Lakini tayari walishajaza majina ya wale wadhamini 30."

Ukweli ni kwamba katuacha vibaya kuliko alivyotukuta.

Magufuli ni mtu complex ana pande nyingi sana na zote zinahitaji kuhesabiwa.

Mara nyingi tunapomjadili tunam type cast kama our hero or our villain, the truth is more complex than that.

Zaidi, habari hii inaonesha CCM imeoza kwa rushwa.
 
Hiyo hali ilikuwa inainyemelea CHADEMA.

Nakumbuka huyi kibaka Yericko Nyerere alikua anamsifia Mbowe pale "huu mkutano umegharamiwa kwa milioni 300 ametoa Freeman Mbowe mfukoni mwake"

Na baadae tukasikia vioja kwamba kuna nyakati Mbowe alikua anakikopesha chama pesa zake .

Hakika niwashukuru wajumbe kwa kazi waliyoifanya January 21 ni kazi iliyotukuka wanastahili kuenziwa maana tumejua mengi baada ya pale.
 
Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media.

"Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya Jumapili, akaniambia, 'Mzee, mimi nataka kujiondoa kwenye hii mizunguko ya kutafuta wadhamini.' Nikasema, 'Kwa nini?' Akasema, 'Hapana, mimi sina pesa kabisa. Wenzangu wanatoa pesa, mimi nikienda mahali mnaongea nao, mnataka kuondoka wanasema, sasa mnatwachaje?'

Basi yeye alikwenda Iringa kutafuta wadhamini 30, kufika pale mjini akambiwa na kiongozi aliyekuwepo wakati huo, 'Bwana usipoteze muda wako hapa, wote hapa wamemshika mkono Lowassa.' Akanipigia simu, 'Mzee, hivi kweli nikose watu Iringa hapa?' Nikasema, 'Hapana, nitampigia Katibu wa Chama wa Wilaya akupeleke kwenye tawi lolote nje ya mji.'

Alipofika kule akakuta watu 50 wamemsubiri. Akaomba wadhamini 30, lakini bahati nzuri wakawa wamejaza fomu zake. Baada ya hapo anataka kutoka wanamuuliza, 'Rasi unatuachaje?' Akasema, 'Nawaacha kama nilivyowakuta.' Huyo kwenye gari akachomoka! Lakini tayari walishajaza majina ya wale wadhamini 30."

Mzilankende ndio maana alitaka watu walime kwa MENO

JEMBE MAGUFURIII NOMA SANA SANAAAAAA NA KWA JINSI ALIVYO KUA NA HASIRA ATAKUA ALIWASHUGHULIKIA ALIPO PATA MADARAKA YA URAISI
 
Back
Top Bottom