Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
NeverMkuu wewe ndio mmojawapo wa hao muliokaachwa?
NeverMkuu wewe ndio mmojawapo wa hao muliokaachwa?
Hayo ya rushwa CCM tangu 1995 huko,2000 wakaibatiza 'takrima'.. hakuna asiyejua labda gen z, ndiyo maana kugombea CCM uwe na helaWazee wamechoka kukumbatia uongo kwa miaka mingi, wameamua wayamwage tu wazi wazi. ALOOOH.
Hivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
Hayo ya rushwa CCM tangu 1995 huko,2000 wakaibatiza 'takrima'.. hakuna asiyejua labda gen z, ndiyo maana kugombea CCM uwe na hela
Kwani nani alie waambia kwamba wanaenda kulipwa wakijaza fomu??Hapo pekundu ndipo kwenye kosa, mngewaambia ukweli na dhamira yenu toka rohoni kuwa hamnunui watu ili mpate watu safi
Huu uliofanyika ni uhuni wala siyo ujanja
Sahihi kabisaWe pimbi tulia. Magufuli alipinga rushwa.
Na huu ndio mzizi mkuu wa CCM, huwezi kuwa kiongozi bila kuhonga na baada ya hapo unachagua watu unaowaamini na walio karibu yako kwenye nyadhifa za utendaji kwenye nafasi muhimu, nao hao uliowaweka wanajipigia rasilimali za umma kadri wajiwezavyo kwasababu hata wakishtukiwa wanajua hutathubutu kuwaadhibu kwasababu ni watu waliyemchagua. HUU NDIO MFUMO MKUU WA CCM. Ndiomaana Samia alisema " KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO" Meaning hakuwa na uwezo wa kuwawajibisha kwasababu ni watu wake. UFISADI UTAENDELEA KWA VIWANGO VYA JUU KADRI SAMIA AKIWA MADARAKANI BILA UWAJIBISHAJI.Hilo liko wazi. Huwezi kutoboa kirahisi ndani ya ccm bila ya kuwahonga wajumbe.
Fisadi jakaya kikweteHivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?