Hawa wazee wameichoka CCM wameamua kusema ukweli. Wanamwaga mboga wahuni wabaki na ugali tupu.Sasa hapo anamsifia Magufuli?
Au
Anakiponda chama chake kwamba kimejaa rushwa hadi kwenye masuala ya uchaguzi ya ndani?
Dah! Ila kweli 😄Hivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
NchimbiHivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
Tunashukuru kwa kuzidi kutuaminisha kwamba CCM na RUSHWA ni Pipa na mfuniko..asante Katibu Mkuu Mstaafu!
Hapo pekundu ndipo kwenye kosa, mngewaambia ukweli na dhamira yenu toka rohoni kuwa hamnunui watu ili mpate watu safi
Huu uliofanyika ni uhuni wala siyo ujanja
Sasa hapo anamsifia Magufuli?
Au
Anakiponda chama chake kwamba kimejaa rushwa hadi kwenye masuala ya uchaguzi ya ndani?
Hawa wazee wameichoka CCM wameamua kusema ukweli. Wanamwaga mboga wahuni wabaki na ugali tupu.
Hata Emmanuel Nchimbi wanambeza kuwa huwa anatoa michango kiduchu pale anapoombwa kufanya hivyo.
Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media.
"Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya Jumapili, akaniambia, 'Mzee, mimi nataka kujiondoa kwenye hii mizunguko ya kutafuta wadhamini.' Nikasema, 'Kwa nini?' Akasema, 'Hapana, mimi sina pesa kabisa. Wenzangu wanatoa pesa, mimi nikienda mahali mnaongea nao, mnataka kuondoka wanasema, sasa mnatwachaje?'
Basi yeye alikwenda Iringa kutafuta wadhamini 30, kufika pale mjini akambiwa na kiongozi aliyekuwepo wakati huo, 'Bwana usipoteze muda wako hapa, wote hapa wamemshika mkono Lowassa.' Akanipigia simu, 'Mzee, hivi kweli nikose watu Iringa hapa?' Nikasema, 'Hapana, nitampigia Katibu wa Chama wa Wilaya akupeleke kwenye tawi lolote nje ya mji.'
Alipofika kule akakuta watu 50 wamemsubiri. Akaomba wadhamini 30, lakini bahati nzuri wakawa wamejaza fomu zake. Baada ya hapo anataka kutoka wanamuuliza, 'Rasi unatuachaje?' Akasema, 'Nawaacha kama nilivyowakuta.' Huyo kwenye gari akachomoka! Lakini tayari walishajaza majina ya wale wadhamini 30."
Ukweli ni kwamba katuacha vibaya kuliko alivyotukuta.

Hiyo hali ilikuwa inainyemelea CHADEMA.
Mkuu wewe ndio mmojawapo wa hao muliokaachwa?Hapo pekundu ndipo kwenye kosa, mngewaambia ukweli na dhamira yenu toka rohoni kuwa hamnunui watu ili mpate watu safi
Huu uliofanyika ni uhuni wala siyo ujanja
Huyu karithi tu na baadae kupitishwa kihuni na mkwereHivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
Ukichukuliwa, Mimi simoHivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
Huyu karithi tu na baadae kupitishwa kihuni na mkwere
Udhamini wq nn wakati ilihapishwa fomu moja tuu.Hivi Samia alidhaminiwa na wakina nani?
Mzilankende ndio maana alitaka watu walime kwa MENO
Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media.
"Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya Jumapili, akaniambia, 'Mzee, mimi nataka kujiondoa kwenye hii mizunguko ya kutafuta wadhamini.' Nikasema, 'Kwa nini?' Akasema, 'Hapana, mimi sina pesa kabisa. Wenzangu wanatoa pesa, mimi nikienda mahali mnaongea nao, mnataka kuondoka wanasema, sasa mnatwachaje?'
Basi yeye alikwenda Iringa kutafuta wadhamini 30, kufika pale mjini akambiwa na kiongozi aliyekuwepo wakati huo, 'Bwana usipoteze muda wako hapa, wote hapa wamemshika mkono Lowassa.' Akanipigia simu, 'Mzee, hivi kweli nikose watu Iringa hapa?' Nikasema, 'Hapana, nitampigia Katibu wa Chama wa Wilaya akupeleke kwenye tawi lolote nje ya mji.'
Alipofika kule akakuta watu 50 wamemsubiri. Akaomba wadhamini 30, lakini bahati nzuri wakawa wamejaza fomu zake. Baada ya hapo anataka kutoka wanamuuliza, 'Rasi unatuachaje?' Akasema, 'Nawaacha kama nilivyowakuta.' Huyo kwenye gari akachomoka! Lakini tayari walishajaza majina ya wale wadhamini 30."
Wakitaka kunichukuwa nakinukisha.Ukichukuliwa Mimi simo