Philip Mpango na Selemani Jafo tokeni hadharani kuusemea muungano ukipopolewa na Lissu!

Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira.

Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na makamu wa rais wajitokeze kuutetea kwa hoja mbele ya umma wa Tanzania ili kuifanya imara zaidi kama inawezekana.

Ilipaswa kabla Kinana hajajitokeza hadharani au hata baada ya yeye kujitokeza kumjibu Lissu basi makamu wa Rais Phillip Mpango akisaidiana na Waziri Jafo wajibu pia hoja za Lissu katika majukwa mbalimbali. Jambo la kushangaza mpaka sasa wote wako kimya na wanajibu watu wengine wa mbali kabisa!
Lissu aliongea kisasa na amejibiwa kisasa.
 
kumjibu lisu ni kuwajibu mabwenyenye ya magharibi :pedroP:
 
Ni upuuzi mkubwa kuwasumbua viongozi wetu kwa mambo ya kipuuzi ya wehu wachache!
 
Kati ya hao wawili kama ndio wanaaminiwa wanaweza kujibu hoja za Lissu nadhani CCM watakuwa wanakwenda kupata aibu ya mwaka tena.

Mpango ana uwezo mkubwa kiakili ila hizi hoja za Muungano za Lissu ataangukia pua, huyo Jaffo ni wale wa "vimemo" hivyo uwezo wake una shaka hata kabla hajaanza.

Mtu ambaye walau angeweza kujibu mapigo hayo ni yule Professor Kabudi aliyejiita ametokea jalalani ingawa kwa kuwa boss wake ana uwezo mdogo na hivyo maboss wa hivyo hupenda kufanya kazi na average minds wenzao kuzuia kuwa outshine,hivyo Kabudi akapelekwa kusoma Magazeti Ikulu.
 
Unatakiwa uende Zanzibar na passport...... kama una , wewe ni wa hapa hapa 😀 😀
Wazanzibar waliopo bara ni wengi mno kiasi endapo wanarudi znz sijui watakaa wapi?, USHOGA NI MBAYA SANA, KWA SABABU UNATUMIA MAUMBILE TOFAUTI NA ILIVYOPANGWA NA MUUMBA YOU JUST GO VICEVERSA!, KATIKA KILA JAMBO!, UMOJA NI NGUVU, HUKO ULAYA WATU WANAUNGANIKA, SASA HUYO BWEGE ANASISITIZA MGAWANYIKO, A VERY STUPIDITY!
 
Unaonekana una hasira sana.....mpaka unaleta mambo tofauti na andiko....Pole sana...hoja ujibiwa kwa hoja......na hii Tanzania ni yetu sote.😎
 
Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira.

Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na makamu wa rais wajitokeze kuutetea kwa hoja mbele ya umma wa Tanzania ili kuifanya imara zaidi kama inawezekana.

Ilipaswa kabla Kinana hajajitokeza hadharani au hata baada ya yeye kujitokeza kumjibu Lissu basi makamu wa Rais Phillip Mpango akisaidiana na Waziri Jafo wajibu pia hoja za Lissu katika majukwa mbalimbali. Jambo la kushangaza mpaka sasa wote wako kimya na wanajibu watu wengine wa mbali kabisa!
wanakuja kwasasa wako maktaba wanapitia baadhi ya hotuba za mwalimu na maandishi yake kuhusu muungano
 
Back
Top Bottom