Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Halo JF Celebrities.
Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?
Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.
O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye gemu. Namtakia kila la kheri ktk maisha ya utafutaji.
Big up O Ten.