Philipo Nyandindi (O. Ten) ajiingiza katika Kilimo cha Matunda

Philipo Nyandindi (O. Ten) ajiingiza katika Kilimo cha Matunda

Mkuu sio kwamba kashavuna, lahasha!! ni kwamba kipindi hiki ndiyo yupo shambani kaanza kuwekeza rasmi. Subirini mavuno, mtu akianza jambo mtieni Moyo msimbeze na kumkatisha tamaa.
Mkuu lengo sio kumkatisha tamaa,
Lengo ni kusema ukweli na ukweli utuweke huru,
Sijajua ni muda gani anakwenda shambani na kapata wapi pesa ya kuwalipa hao vibarua.
Na kama ni kweli tuletee hata picha angalau tuamini kwa macho.

Sijui hii habari umeitoa wapi ila kama unataka ushaidi wa macho,Tafadhali usisite kuwasiliana na mimi PM nikupeleke mpaka anaposhinda kila siku,ki ukweli yuko kwenye hali mbaya anahitaji msaada wangu na wako kama mtanzania mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halo JF Celebrities.

Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?

Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.

O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye gemu. Namtakia kila la kheri ktk maisha ya utafutaji.

Big up O Ten.

View attachment 1435614
Safi sana O10 ufanikiwe katika kazi yako mpya ili wengine wajifunze!!
 
Mimi ni Mkuu wa Mkoa niko juu zaidi ya Meya,
Mimi ni kama Baba mwenye familia analea,
Mimi ni kama King nioo juu zaidi ya Queen,
Zaidi ya, Zaidi ya, Ama Regional Commissioner
 
Halo JF Celebrities.

Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?

Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.

O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye gemu. Namtakia kila la kheri ktk maisha ya utafutaji.

Big up O Ten.

View attachment 1435614
Acha uongo mkuu ,huyu jamaa anashinda geto kwa msela kila siku tunamuona,labda kama analimia geto humo.
 
majina ya wasanii bhana eti nyandindi, imagine unaambiwa Onika Tanya Maraj-Petty ndio nicki minaj
 
Kama ulikuwa hajui wana maanisha nini wanapo sema "Life has no formula " ndo ujue sasa kupitia huyo msanii.
Ukisha jua siku ukimuona boss kawa machinga hutoshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyandindi ana nini na wewe, tatizo Watanzania wamejaa chuki sana dhidi ya wenzao. Hizo pombe zinanywewa na watu wengi na serikali imehalalisha! Hapo wewe sio ajabu ni shoga na wenzio wanakuinamisha kama starehe yako lakini hakuna anayekushambulia kwa starehe yako hiyo.
wewe umetoa taarifa na wenzako wanatuhabarisha wanachojua , matusi ya nini? Kati ya Mwisho, Sele na O-ten mwenye nafuu ni afande Sele unamkuta mara nyingi pale Zebra bar Misufini au Mziwanda bar Iringa road anajipigia gambe lake, niliyemuona na sikuamini macho yangu ni Mwisho. Hayo mengine nawaachia muendelee na ligi yenu.
 
Safi sana, atakuwa na kaka yake kule, Lucky dube wa tz
 
Halo JF Celebrities.

Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?

Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.

O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye gemu. Namtakia kila la kheri ktk maisha ya utafutaji.

Big up O Ten.

View attachment 1435614
Samelioni Msindi naye analima nini au bange?
 
Enzi zake oten anatembea kifua wazi maeneo ya mjini. Nilikua nafahamiana na mdogo ake kipindi hiko wanakaa maeneo ya kola.
Lakini maisha yamebadilika sidhani kama hiki ulichokileta ni sahihi
 
Back
Top Bottom