Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mtu amepambana Sana , badae akahamia kwenye kilimo sjui matikiti mananasi ooh nyanya , ujue ya kuwa huyo mtu ni looser , kilimo unapoanza ba climate iwe flaoudev dearourable
Mbona huwelewekiMkuu wa Mkoa,hili Pini nalielewa sana
Ndiyo hivyo mwenzio analima, hutaki jinyonge!! Hiyo hela ya kunya Eagle na furu zitoke wapi bila kufanya kazi. Shwaini waheed mkubwa wewe!Anakunywa eagle na faru na anapiga mizinga kishenzi hiyo pesa ya kulimia aipate wapi?
Ana wimbo unaitwa mkuu wa mkoa,huujui?Mbona huweleweki
Ndiyo hivyo mwenzio analima, hutaki jinyonge!! Hiyo hela ya kunya Eagle na furu zitoke wapi bila kufanya kazi. Shwaini waheed mkubwa wewe!
Hata ikiwa hivyo, unataka mtu anywe kinywaji gani? Unampangia cha kunywa ilihali hela sio zako?Pole sana filipo nyandindi,we huwa huji sabasaba kwa Mpare kupiga mizinga ya faru dume wewe?
Nimekupata mkubwa!!Ana wimbo unaitwa mkuu wa mkoa,huujui?
Hata ikiwa hivyo, unataka mtu anywe kinywaji gani? Unampangia cha kunywa ilihali hela sio zako?
Nyandindi ana nini na wewe, tatizo Watanzania wamejaa chuki sana dhidi ya wenzao. Hizo pombe zinanywewa na watu wengi na serikali imehalalisha! Hapo wewe sio ajabu ni shoga na wenzio wanakuinamisha kama starehe yako lakini hakuna anayekushambulia kwa starehe yako hiyo.Nisamehe sana bwana filipo nyandindi,mwana mpotevu mzee wa 'eyoo nicheki',nilikuwa nalipoti nachokifahamu kama wewe ulivyotoa taarifa unachokijua kuhusu wewe mla pombe chafu
Halo JF Celebrities.
Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?
Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.
O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye gemu. Namtakia kila la kheri ktk maisha ya utafutaji.
Big up O Ten.
View attachment 1435614
Mkuu sio kwamba kashavuna, lahasha!! ni kwamba kipindi hiki ndiyo yupo shambani kaanza kuwekeza rasmi. Subirini mavuno, mtu akianza jambo mtieni Moyo msimbeze na kumkatisha tamaa.Mkuu hebu lete chanzo cha hii habar yako!
Nina hakika hakuna mtu ambae amemwona Afande sele,mwisho mwampam ba na oten siku hizi za karibuni,
Sijui niseme wamejificha ama wamejichimbia.
Chimbo lao ni morogoro kule juu kwa mkuu wa mkoa mbele milimani.Nina tabia ya kwenda mara mbili kwa week.
Yaani ki ukweli wamechoka sana utawaurumia ukiwaona,wanashinda kutwa nzima wanavuta bange tu na stori zao ni za mafanikio tu uku wamekaa bila kazi.
Huyo oten hata usiseme juzi katoka kuniomba mia tano.Hali yake ni mbaya,nashangaa mleta mada anasema kaajiri watu.
Kama yuko na picha ya oten ya mwaka huu na hayo mashamba aweke hapa.
Chanzo cha habari ni mwenyewe.
Nyandindi ana nini na wewe, tatizo Watanzania wamejaa chuki sana dhidi ya wenzao. Hizo pombe zinanywewa na watu wengi na serikali imehalalisha! Hapo wewe sio ajabu ni shoga na wenzio wanakuinamisha kama starehe yako lakini hakuna anayekushambulia kwa starehe yako hiyo.